Je, mabadiliko yanapatikana nje ya CCM?

Je, mabadiliko yanapatikana nje ya CCM?

Joined
Aug 21, 2016
Posts
33
Reaction score
504
Wakati wa uongozi wa awamu ya nne kulikuwa na mijadala mingi, mikubwa na midogo kuhusu mustakabali wa nchi yetu. Kulikuwepo na mazungumzo ya muda mrefu kuhusu mwelekeo wa jumla wa taifa letu, maadili ya taifa letu, uchumi wa nchi yetu nakadhalika. Ungesikiliza mazungumzo ya watu wengi wakati huo na ukisoma magazeti yetu, ilikuwa ni dhahili kuwa nchi yetu ilikuwa imekwama. Nchi yetu ilikabiliwa na changamoto nyingi hususan kuporomoka kwa maadili na tunu za taifa, kuongezeka kwa umaskini na tofauti ya kipato baina ya wachache walionacho na wengi wasionacho. Kuibuka kwa mgawanyiko katika misingi ya makundi ya kisiasa na jamii. Kuibuka na kushamiri kwa utamaduni na siasa chafu, malalamiko kuhusu Muungano wetu na mengineyo.

Mmomonyoko wa maadili ulidhihirishwa na ongezeko kubwa la rushwa na ufisadi, uvunjaji wa haki za binadamu, tabia na hulka ya viongozi kushindana kwa kujilimbikizia mali na kutoheshimiana. Mambo haya yaliondoa uzalendo, uadilifu, ufanisi, matumaini na imani ya wananchi kwa mfumo wa uongozi, viongozi wao na Serikali yao.

Ni dhahiri, Tanzania si nchi maskini isipokuwa inabidi ijipange katika matumizi ya rasilimali zake kama maliasili kwa ajili ya maendeleo ya taifa. Wananchi wengi walionyesha wasiwasi kwamba sehemu kubwa ya rasilimali au maliasili ilikuwa inawanufaisha wawekezaji wa kigeni na washirika wao ambao wana hisa na wachache wenye mamlaka ya kiserikali katika maeneo husika. Ni dhahiri uwekezaji huu ni unyonyaji uliopingwa awali na Azimio la Arusha.

Nchi yetu pia ilikabiliwa na inakabiliwa na changamoto za ukuaji wa uchumi usiogawanyika kwa usawa kunufaisha wananchi wote (equity). Wachache wananufaika na hivyo pengo kati ya maskini na tajiri linaongezeka. Tunashuhudia pia utajiri wa maliasili uliporwa kutokana na kushamiri kwa ufisadi na rushwa, kukosekana kwa uwajibikaji wa kisiasa na kiutawala na kuwepo kwa mkanganyiko katika asasi za utawala. Uwezo wetu wa kujiletea maendeleo tunayotaka ulikuwa ni mdogo. Nchi yetu ilibaki ni tegemezi kwa wahisani na wawekezaji kutoka nje.

Kulikuwepo na wimbi la vijana kuhamia mijini kwa matumaini ya kupata maisha bora, lakini wengi wao waliishia kuwa vibaka na wengine kuwa watumiaji wa dawa za kulevya. Idadi ya wasichana wanaojiuza mitaani iliongezeka. Haki za binadamu na za jamii hazikupewi kipaumbele na uzito wa matukio ya mauaji ya albino na hatua zisizoridhisha zilizochukuliwa na serikali ni mfano ambao ulioonyesha jinsi serikali ambavyo haikuwa makini hata kusababisha wananchi kukata tamaa. Aidha, haki za wageni zililindwa na kuheshimiwa kuliko za wenyeji. Wageni walitetewa kama wavunaji halali wa maliasili, lakini wenyeji wao ni wavuvi haramu, wawindaji haramu, na wavamizi wa maeneo yenye madini.

Changamoto nyingine kubwa ilikuwa ni kuongezeka kwa migongano ya mara kwa mara kati ya Serikali, Bunge na Mahakama. Mfano halisi ni pale ambapo Bunge lilishindwa kuisimamia Serikali kikamilifu kwa wabunge wa chama tawala kushinikizwa wakubaliane nayo au waitetee, hata ambapo ilikuwa na makosa katika utekelezaji wa shughuli zake. Ni dhajiri nchi yetu ilihitji mabadiliko.

Kwa muhtasari, wakati wa Mwalimu Nyerere nchi yetu ilikuwa maskini, lakini yenye upeo, mwelekeo na uwezo wa kisiasa ambao uliwashangaza wengi. Ilichukua msimamo thabiti kujenga ujamaa na kujitegemea, kuunga mkono na kushiriki katika mapambano ya ukombozi kusini mwa Afrika na kupinga siasa za udhalimu popote ulimwenguni. Nchi yetu pia ilijiamini kwa matamko, vitendo na kisiasa. Wakati huo kulikuwa na mwamko mkubwa ndani ya wananchi juu ya kufanya kazi ili kujitegemea na kuinua hali ya maisha yao. Kuanzia zama za rais Mwinyi hadi sasa nchi yetu imeendelea kuwa maskini na imezama kwenye utegemezi badala ya kupambana kwa dhati kuinua hali ya maisha ya wananchi. Ni Tanzania yenye tabaka zinazozidiana mali na kipato. Ni Tanzania iliyogubikwa na rushwa na ufisadi mkubwa. Ni Tanzania ilikuwa na ombwe la uongozi.

Kutokana na changamoto hizi, nchi yetu ilihitaji sana uongozi imara wa chama tawala, unaoweza kutoa mwelekeo wa taifa kwa ujumla.

Watanzania wasomi, wanasiasa, wanaharakati na wengine wengi walilalamikia ombwe (vacuum) la uongozi. Hili ni tatizo kubwa. Katika kitabu cha Uongozi wetu na hatma ya Tanzania, Nyerere alisema hulka huchukia ombwe (nature abhors a vacuum). Hata siasa huchukia ombwe. Kama uongozi ni mbovu, upoupo, au upo kama haupo, au upo kwa maslahi ya fulanifulani tu, watatokea watu waujaze uwazi uliopo. Hauwezi kuachwa hivihivi. Uongozi mbovu ni kama mzoga. Una hali ya kukaribisha fisi na mainzi. Tusidhani kuwa hulka ya siasa yetu ni tofauti na hulka ya siasa za watu wengine. Watu hawatakubali kuvumilia uongozi mbovu kwani wakifanya hivyo, wanajua fika watavuna “matunda ya uongozi mbovu.”

Nchi yetu ilikuwa imefikisha miaka 19 tangu iingie katika mfumo wa vyama vingi. Ni kweli kulikuwepo na vyama vya upinzani vyenye wanachama uzalendo na wenye hamu ya kuona mafanikio kwenye taifa letu, lakini vingi katika hivyo bado mpaka wakati huo havikuweza kuonyesha uwezo wa kushika madaraka na kuwa chama tawala mbadala. Demokrasia na mwenendo wa baadhi ya vyama vya siasa na ndani ya baadhi ya vyama vyenyewe imekatisha tamaa Watanzania.

Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2015 ajenda ya kutaka mabadiliko ilikuwa ni moja ya ajenda kuu kwenye vyama vya upinzani na chama tawala. Nyerere aliwaasa watanzania na hasa alikitahadharisha chama tawala kwamba, “Watanzania wanataka mabadiliko, wasipoyaona wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM”. Chama tawala CCM kiliichukulia suala la mabadiliko kwa umakini sana. Katibu Mkuu wa CCM alizunguka nchi nzima akiwaeleza watanzania mabadiliko yaliyohitajika. Kwa kifupi alikifufua Chama cha Mapinduzi na watanzania wakakiamini tena. Lakini pia CCM ilichukua hatua ya kuwaondoa waliotuhumiwa kwa ufisadi na kutoa rushwa kwenye kura za maoni ndani ya CCM. Harufu ya ufisadi na rushwa ndani ya CCM ikawa imepungua, kwani mtakumbuka wagombea wengi walikuwa wanapita kwenye makanisa na misikiti wakitoa rushwa. CCM ikawaondoa kwenye kugombea urais.

Wakati CCM imechukua hatua hizi, Chadema na UKAWA wakawa na mabadiliko ya kuzungusha mikono lakini ndani ya mioyo yao hawakutaka mabadiliko. UKAWA na Chadema waliokuwa na madai ya muda mrefu kwamba wanao ushahidi wa wale waliotuhumiwa ufisadi wakawakaribisha kwenye chama na kuwapa heshima ya kugombea nafasi za juu, ajenda ya udfisadi ikafa.

Tarehe 25 Oktoba watanzania wakatoa maamuzi, Mabadiliko Bado yatapatikana Ndani ya CCM na siyo Nje ya CCM.

Kutokana na mabadiliko ya uongozi yaliyotokea chini ya uongozi wa Rais John Pombe Magufuli watanzania wengi wamepata matumaini makubwai. Yale ambayo niliyapigania na kuyapigia kelele kwa wakati huo hadi kuhama CCM, kwa sasa chini ya uongozi wa Rais Magufuli yanatekelezwa. Ndiyo sababu ya msingi ya uwaomba watanzania wamuunge mkono Rais Magufuli na serikali yake.

Kwa muda mfupi wa JPM, serikali imeonyesha kuchukua hatua madhubuti kukabiliana na changamoto nyingi:

Je ni yapi yatufanye tuandamane kuipinga serikali ?

Je ni udikteta kuchukua hatua dhidi ya ufisadi bandarini uliokuwa uapoteza mabilioni ya fedha ?
Je ni udikteta kupiga vita uzembe na kutumia madaraka vibaya kwa viongozi mfano kujilipa mishahara 17 mtu mmoja?
Je ni udikteta kuchuku htua dhidi ya watumishi hewa serikalini na kwenye hlmashauri zetu ?
Je tuandamane kupinga kuboreshwa kwa huduma kwenye hospitali zetu ?
Je tuandamane kupinga kuletwa kwa ndege kwenye ATC ?
Je tuandamane kwa ajili ya hatua zilizochukuliwa kwa watoto kupata madawati mashuleni ?
Je tuandamane kwa hatua ya serikali kuchukua hatua ya kuhakikisha wachimbaji wadogo nao wananufaika na madini, kwa kupewa mchanga ?

Chadema na UKAWA wanadai demokrasia inaminywa. Je kuna demokrasia pana ndani ya Chadema ? au CUF ? Mgombea urais wa Chadema alipatikanaje ? Hiyo ni demokrasia pana ?

Nchi yetu ilipitia misukosuko mikubwa na changamoto nyingi, ipo haja kwa ssa upinzani kuunga mkono juhudi zinazochukuliwa na JPM wakati huo huo wakiikosoa serikali huko Bungeni, lakini kuitisha maandamano nchi nzima siyo uzalendo ni upotoshaji au uchochezi.
 
Umeshawahi kusikia chochote kuhusu Lugumi, Escrow, IPTL, Wakwapuzi wa UDA, MV uozo iliyonunuliwa kwa bilioni na Mungu wa Ikulu na sasa iko juu ya mawe. Hebu tupe maoni yako kuhusu ufisadi huu.

Dkt. Magufuli aongoza wananchi kwenye majaribio ya uzinduzi wa kivuko cha MV Dar es Salaam

~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*
KASHFA zimeanza kumiminika baada ya Dk. John Magufuli wakati akiwa Waziri wa Ujenzi katika Serikali ya Awamu ya Nne kudaiwa kuridhia ununuzi wa Kivuko cha Mv. Dar es Salaam feki na kibovu, anaandika Faki Sosi.

Manunuzi ya kivuko hicho kibovu, feki yalifanywa na Wakala wa Ufundi Umeme (TAMESA) na kugharimu Dola za Marekani 4,980,000 sawa na Sh. 7.916 Bil.

James Mbatia, Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni katika Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano amesema hayo wakati akisoma hotuba yake jana bungeni. Ifuatayo ni sehemu ya hotuba hiyo;

UFISADI KATIKA VIVUKO NA MADARAJA NCHINI

3.2.1.Ununuzi wa Kivuko Kibovu cha Dar es Salaam -Bagamoyo

Mheshimiwa Spika, Kivuko kutoka Dar es Salaam kwenda Bagamoyo ni jipu ambalo limeiva kwa viwango vyote na sasa linatakiwa litumbuliwe mara moja.

Ni dhahiri kuwa Kivuko cha Dar es Salaam kwenda Bagamoyo kilichonunuliwa na TEMESA chini ya uongozi wa waziri wa Ujenzi wa serikali ya awamu ya nne ambaye ndiye Rais wa Tanzania wa sasa.

Mheshimiwa Spika, kwa mujibu wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) katika Hesabu za Serikali kuu akikagua Taarifa za fedha kwa mwaka ulioishia tarehe 30 Juni 2015 iliyotolewa mwezi Machi 2016 (Ukurasa wa 132 na 133), alibaini ununuzi wa boti feki na mbovu uliofanywa na TEMESA na kugharimu Dola za Marekani 4,980,000 sawa na shilingi 7,916,955,000 kupitia mkataba namba AE/006/2012-13/HQ/G/CN-39 uliosainiwa tarehe 25 April 2013 kati ya TEMESA kwa niaba ya Serikali na Mzabuni M/s Johs.Gram-Hanssen Bergensgade.

Mheshimiwa Spika, CAG alibaini masuala makuu mawili kuhusu ununuzi huo wa kivuko feki na kibovu cha Dar es Salaam – Bagamoyo.

Jambo la kwanza CAG alibaini kasi ya kivuko hicho ni tofauti na kasi iliyotakiwa kuwepo, jambo la pili ni kuwa cheti cha kukikubali kivuko hicho kilikuwa hakijatolewa kinyume na Kanuni ya 247 ya Manunuzi ya Umma.

Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni inahoji, tabibu wa kutumbua jipu hili yuko wapi? Au msemo usemao kuwa“mganga hajigangi” unatumika hapa?

Wakati wa uongozi wa awamu ya nne kulikuwa na mijadala mingi, mikubwa na midogo kuhusu mustakabali wa nchi yetu. Kulikuwepo na mazungumzo ya muda mrefu kuhusu mwelekeo wa jumla wa taifa letu, maadili ya taifa letu, uchumi wa nchi yetu nakadhalika. Ungesikiliza mazungumzo ya watu wengi wakati huo na ukisoma magazeti yetu, ilikuwa ni dhahili kuwa nchi yetu ilikuwa imekwama. Nchi yetu ilikabiliwa na changamoto nyingi hususan kuporomoka kwa maadili na tunu za taifa, kuongezeka kwa umaskini na tofauti ya kipato baina ya wachache walionacho na wengi wasionacho. Kuibuka kwa mgawanyiko katika misingi ya makundi ya kisiasa na jamii. Kuibuka na kushamiri kwa utamaduni na siasa chafu, malalamiko kuhusu Muungano wetu na mengineyo.

Mmomonyoko wa maadili ulidhihirishwa na ongezeko kubwa la rushwa na ufisadi, uvunjaji wa haki za binadamu, tabia na hulka ya viongozi kushindana kwa kujilimbikizia mali na kutoheshimiana. Mambo haya yaliondoa uzalendo, uadilifu, ufanisi, matumaini na imani ya wananchi kwa mfumo wa uongozi, viongozi wao na Serikali yao.

Ni dhahiri, Tanzania si nchi maskini isipokuwa inabidi ijipange katika matumizi ya rasilimali zake kama maliasili kwa ajili ya maendeleo ya taifa. Wananchi wengi walionyesha wasiwasi kwamba sehemu kubwa ya rasilimali au maliasili ilikuwa inawanufaisha wawekezaji wa kigeni na washirika wao ambao wana hisa na wachache wenye mamlaka ya kiserikali katika maeneo husika. Ni dhahiri uwekezaji huu ni unyonyaji uliopingwa awali na Azimio la Arusha.

Nchi yetu pia ilikabiliwa na inakabiliwa na changamoto za ukuaji wa uchumi usiogawanyika kwa usawa kunufaisha wananchi wote (equity). Wachache wananufaika na hivyo pengo kati ya maskini na tajiri linaongezeka. Tunashuhudia pia utajiri wa maliasili uliporwa kutokana na kushamiri kwa ufisadi na rushwa, kukosekana kwa uwajibikaji wa kisiasa na kiutawala na kuwepo kwa mkanganyiko katika asasi za utawala. Uwezo wetu wa kujiletea maendeleo tunayotaka ulikuwa ni mdogo. Nchi yetu ilibaki ni tegemezi kwa wahisani na wawekezaji kutoka nje.

Kulikuwepo na wimbi la vijana kuhamia mijini kwa matumaini ya kupata maisha bora, lakini wengi wao waliishia kuwa vibaka na wengine kuwa watumiaji wa dawa za kulevya. Idadi ya wasichana wanaojiuza mitaani iliongezeka. Haki za binadamu na za jamii hazikupewi kipaumbele na uzito wa matukio ya mauaji ya albino na hatua zisizoridhisha zilizochukuliwa na serikali ni mfano ambao ulioonyesha jinsi serikali ambavyo haikuwa makini hata kusababisha wananchi kukata tamaa. Aidha, haki za wageni zililindwa na kuheshimiwa kuliko za wenyeji. Wageni walitetewa kama wavunaji halali wa maliasili, lakini wenyeji wao ni wavuvi haramu, wawindaji haramu, na wavamizi wa maeneo yenye madini.

Changamoto nyingine kubwa ilikuwa ni kuongezeka kwa migongano ya mara kwa mara kati ya Serikali, Bunge na Mahakama. Mfano halisi ni pale ambapo Bunge lilishindwa kuisimamia Serikali kikamilifu kwa wabunge wa chama tawala kushinikizwa wakubaliane nayo au waitetee, hata ambapo ilikuwa na makosa katika utekelezaji wa shughuli zake. Ni dhajiri nchi yetu ilihitji mabadiliko.

Kwa muhtasari, wakati wa Mwalimu Nyerere nchi yetu ilikuwa maskini, lakini yenye upeo, mwelekeo na uwezo wa kisiasa ambao uliwashangaza wengi. Ilichukua msimamo thabiti kujenga ujamaa na kujitegemea, kuunga mkono na kushiriki katika mapambano ya ukombozi kusini mwa Afrika na kupinga siasa za udhalimu popote ulimwenguni. Nchi yetu pia ilijiamini kwa matamko, vitendo na kisiasa. Wakati huo kulikuwa na mwamko mkubwa ndani ya wananchi juu ya kufanya kazi ili kujitegemea na kuinua hali ya maisha yao. Kuanzia zama za rais Mwinyi hadi sasa nchi yetu imeendelea kuwa maskini na imezama kwenye utegemezi badala ya kupambana kwa dhati kuinua hali ya maisha ya wananchi. Ni Tanzania yenye tabaka zinazozidiana mali na kipato. Ni Tanzania iliyogubikwa na rushwa na ufisadi mkubwa. Ni Tanzania ilikuwa na ombwe la uongozi.

Kutokana na changamoto hizi, nchi yetu ilihitaji sana uongozi imara wa chama tawala, unaoweza kutoa mwelekeo wa taifa kwa ujumla.

Watanzania wasomi, wanasiasa, wanaharakati na wengine wengi walilalamikia ombwe (vacuum) la uongozi. Hili ni tatizo kubwa. Katika kitabu cha Uongozi wetu na hatma ya Tanzania, Nyerere alisema hulka huchukia ombwe (nature abhors a vacuum). Hata siasa huchukia ombwe. Kama uongozi ni mbovu, upoupo, au upo kama haupo, au upo kwa maslahi ya fulanifulani tu, watatokea watu waujaze uwazi uliopo. Hauwezi kuachwa hivihivi. Uongozi mbovu ni kama mzoga. Una hali ya kukaribisha fisi na mainzi. Tusidhani kuwa hulka ya siasa yetu ni tofauti na hulka ya siasa za watu wengine. Watu hawatakubali kuvumilia uongozi mbovu kwani wakifanya hivyo, wanajua fika watavuna “matunda ya uongozi mbovu.”

Nchi yetu ilikuwa imefikisha miaka 19 tangu iingie katika mfumo wa vyama vingi. Ni kweli kulikuwepo na vyama vya upinzani vyenye wanachama uzalendo na wenye hamu ya kuona mafanikio kwenye taifa letu, lakini vingi katika hivyo bado mpaka wakati huo havikuweza kuonyesha uwezo wa kushika madaraka na kuwa chama tawala mbadala. Demokrasia na mwenendo wa baadhi ya vyama vya siasa na ndani ya baadhi ya vyama vyenyewe imekatisha tamaa Watanzania.

Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2015 ajenda ya kutaka mabadiliko ilikuwa ni moja ya ajenda kuu kwenye vyama vya upinzani na chama tawala. Nyerere aliwaasa watanzania na hasa alikitahadharisha chama tawala kwamba, “Watanzania wanataka mabadiliko, wasipoyaona wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM”. Chama tawala CCM kiliichukulia suala la mabadiliko kwa umakini sana. Katibu Mkuu wa CCM alizunguka nchi nzima akiwaeleza watanzania mabadiliko yaliyohitajika. Kwa kifupi alikifufua Chama cha Mapinduzi na watanzania wakakiamini tena. Lakini pia CCM ilichukua hatua ya kuwaondoa waliotuhumiwa kwa ufisadi na kutoa rushwa kwenye kura za maoni ndani ya CCM. Harufu ya ufisadi na rushwa ndani ya CCM ikawa imepungua, kwani mtakumbuka wagombea wengi walikuwa wanapita kwenye makanisa na misikiti wakitoa rushwa. CCM ikawaondoa kwenye kugombea urais.

Wakati CCM imechukua hatua hizi, Chadema na UKAWA wakawa na mabadiliko ya kuzungusha mikono lakini ndani ya mioyo yao hawakutaka mabadiliko. UKAWA na Chadema waliokuwa na madai ya muda mrefu kwamba wanao ushahidi wa wale waliotuhumiwa ufisadi wakawakaribisha kwenye chama na kuwapa heshima ya kugombea nafasi za juu, ajenda ya udfisadi ikafa.

Tarehe 25 Oktoba watanzania wakatoa maamuzi, Mabadiliko Bado yatapatikana Ndani ya CCM na siyo Nje ya CCM.

Kutokana na mabadiliko ya uongozi yaliyotokea chini ya uongozi wa Rais John Pombe Magufuli watanzania wengi wamepata matumaini makubwai. Yale ambayo niliyapigania na kuyapigia kelele kwa wakati huo hadi kuhama CCM, kwa sasa chini ya uongozi wa Rais Magufuli yanatekelezwa. Ndiyo sababu ya msingi ya uwaomba watanzania wamuunge mkono Rais Magufuli na serikali yake.

Kwa muda mfupi wa JPM, serikali imeonyesha kuchukua hatua madhubuti kukabiliana na changamoto nyingi:

Je ni yapi yatufanye tuandamane kuipinga serikali ?

Je ni udikteta kuchukua hatua dhidi ya ufisadi bandarini uliokuwa uapoteza mabilioni ya fedha ?
Je ni udikteta kupiga vita uzembe na kutumia madaraka vibaya kwa viongozi mfano kujilipa mishahara 17 mtu mmoja?
Je ni udikteta kuchuku htua dhidi ya watumishi hewa serikalini na kwenye hlmashauri zetu ?
Je tuandamane kupinga kuboreshwa kwa huduma kwenye hospitali zetu ?
Je tuandamane kupinga kuletwa kwa ndege kwenye ATC ?
Je tuandamane kwa ajili ya hatua zilizochukuliwa kwa watoto kupata madawati mashuleni ?
Je tuandamane kwa hatua ya serikali kuchukua hatua ya kuhakikisha wachimbaji wadogo nao wananufaika na madini, kwa kupewa mchanga ?

Chadema na UKAWA wanadai demokrasia inaminywa. Je kuna demokrasia pana ndani ya Chadema ? au CUF ? Mgombea urais wa Chadema alipatikanaje ? Hiyo ni demokrasia pana ?

Nchi yetu ilipitia misukosuko mikubwa na changamoto nyingi, ipo haja kwa ssa upinzani kuunga mkono juhudi zinazochukuliwa na JPM wakati huo huo wakiikosoa serikali huko Bungeni, lakini kuitisha maandamano nchi nzima siyo uzalendo ni upotoshaji au uchochezi.
 
Sasa naanza kuamini ule msemo wa kuwa kweli Ngo'mbe aliyekatwa mkia hata akirudi kundini anajulikana tu.

- Hivi umeshajiuliza ni lini na kwanini hii operation UKUTA imeanzishwa?
 
Ni udikteta wa kuzuia wanasiasa kufanya siasa.
 
Wewe nawe unaandika bandiko reeefu kwa jambo lile lile ila kwa mtindo tofauti. Hoja yako ni kwamba kwenye vyama vingine vya siasa hakuna Demokrasia kwa hivyo hawana haki ya kudai kuwa Rais wao naye pia awe anajali Demokrasia.

Tumekuelewa!!
 
Mkuu Fred Mpendazoe, wajibu wa wananchi kutii Katiba na Sheria za nchi ni upi? Kutii au kutokutii? Wajibu wa viongozi wakiwemo polisi kuhusu hilo ni upi? Kutii au kutokutii? Ni sahihi viongozi au polisi kuzuia yanayoruhusiwa na Katiba na Sheria?
 
Shida ni intentions za wew kuandika haya unayoandika....
Ukweli ni kwamba siku CCM inatoka madarakani, historia mpya ya nchi yetu itaandikwa upya, haijalishi ni lini, nasikitika kuwa historia itakukumbuka kama mwanasiasa maslah.. Wengi wanawaita "wachumia tumbo" ila muda utasema ukweli. So its about time.
 
Mzee ushauri wa bure pumuzika tu siasa huwezi ulikuwa ccm ulifanya nini ukaja chadema kwa tamaa ya madaraka umekosa umerudi ccm ukaambiwa umekatwa mkia umebaki kuhangaika kama fisi aliyenanjaa.

Kutunza heshima yako kaa utulie at your age kama hujaleta impact yoyote kwa jamii to now hakuna anayeweza kukuelewa now.
 
Wakati wa uongozi wa awamu ya nne kulikuwa na mijadala mingi, mikubwa na midogo kuhusu mustakabali wa nchi yetu. Kulikuwepo na mazungumzo ya muda mrefu kuhusu mwelekeo wa jumla wa taifa letu, maadili ya taifa letu, uchumi wa nchi yetu nakadhalika. Ungesikiliza mazungumzo ya watu wengi wakati huo na ukisoma magazeti yetu, ilikuwa ni dhahili kuwa nchi yetu ilikuwa imekwama. Nchi yetu ilikabiliwa na changamoto nyingi hususan kuporomoka kwa maadili na tunu za taifa, kuongezeka kwa umaskini na tofauti ya kipato baina ya wachache walionacho na wengi wasionacho. Kuibuka kwa mgawanyiko katika misingi ya makundi ya kisiasa na jamii. Kuibuka na kushamiri kwa utamaduni na siasa chafu, malalamiko kuhusu Muungano wetu na mengineyo.

Mmomonyoko wa maadili ulidhihirishwa na ongezeko kubwa la rushwa na ufisadi, uvunjaji wa haki za binadamu, tabia na hulka ya viongozi kushindana kwa kujilimbikizia mali na kutoheshimiana. Mambo haya yaliondoa uzalendo, uadilifu, ufanisi, matumaini na imani ya wananchi kwa mfumo wa uongozi, viongozi wao na Serikali yao.

Ni dhahiri, Tanzania si nchi maskini isipokuwa inabidi ijipange katika matumizi ya rasilimali zake kama maliasili kwa ajili ya maendeleo ya taifa. Wananchi wengi walionyesha wasiwasi kwamba sehemu kubwa ya rasilimali au maliasili ilikuwa inawanufaisha wawekezaji wa kigeni na washirika wao ambao wana hisa na wachache wenye mamlaka ya kiserikali katika maeneo husika. Ni dhahiri uwekezaji huu ni unyonyaji uliopingwa awali na Azimio la Arusha.

Nchi yetu pia ilikabiliwa na inakabiliwa na changamoto za ukuaji wa uchumi usiogawanyika kwa usawa kunufaisha wananchi wote (equity). Wachache wananufaika na hivyo pengo kati ya maskini na tajiri linaongezeka. Tunashuhudia pia utajiri wa maliasili uliporwa kutokana na kushamiri kwa ufisadi na rushwa, kukosekana kwa uwajibikaji wa kisiasa na kiutawala na kuwepo kwa mkanganyiko katika asasi za utawala. Uwezo wetu wa kujiletea maendeleo tunayotaka ulikuwa ni mdogo. Nchi yetu ilibaki ni tegemezi kwa wahisani na wawekezaji kutoka nje.

Kulikuwepo na wimbi la vijana kuhamia mijini kwa matumaini ya kupata maisha bora, lakini wengi wao waliishia kuwa vibaka na wengine kuwa watumiaji wa dawa za kulevya. Idadi ya wasichana wanaojiuza mitaani iliongezeka. Haki za binadamu na za jamii hazikupewi kipaumbele na uzito wa matukio ya mauaji ya albino na hatua zisizoridhisha zilizochukuliwa na serikali ni mfano ambao ulioonyesha jinsi serikali ambavyo haikuwa makini hata kusababisha wananchi kukata tamaa. Aidha, haki za wageni zililindwa na kuheshimiwa kuliko za wenyeji. Wageni walitetewa kama wavunaji halali wa maliasili, lakini wenyeji wao ni wavuvi haramu, wawindaji haramu, na wavamizi wa maeneo yenye madini.

Changamoto nyingine kubwa ilikuwa ni kuongezeka kwa migongano ya mara kwa mara kati ya Serikali, Bunge na Mahakama. Mfano halisi ni pale ambapo Bunge lilishindwa kuisimamia Serikali kikamilifu kwa wabunge wa chama tawala kushinikizwa wakubaliane nayo au waitetee, hata ambapo ilikuwa na makosa katika utekelezaji wa shughuli zake. Ni dhajiri nchi yetu ilihitji mabadiliko.

Kwa muhtasari, wakati wa Mwalimu Nyerere nchi yetu ilikuwa maskini, lakini yenye upeo, mwelekeo na uwezo wa kisiasa ambao uliwashangaza wengi. Ilichukua msimamo thabiti kujenga ujamaa na kujitegemea, kuunga mkono na kushiriki katika mapambano ya ukombozi kusini mwa Afrika na kupinga siasa za udhalimu popote ulimwenguni. Nchi yetu pia ilijiamini kwa matamko, vitendo na kisiasa. Wakati huo kulikuwa na mwamko mkubwa ndani ya wananchi juu ya kufanya kazi ili kujitegemea na kuinua hali ya maisha yao. Kuanzia zama za rais Mwinyi hadi sasa nchi yetu imeendelea kuwa maskini na imezama kwenye utegemezi badala ya kupambana kwa dhati kuinua hali ya maisha ya wananchi. Ni Tanzania yenye tabaka zinazozidiana mali na kipato. Ni Tanzania iliyogubikwa na rushwa na ufisadi mkubwa. Ni Tanzania ilikuwa na ombwe la uongozi.

Kutokana na changamoto hizi, nchi yetu ilihitaji sana uongozi imara wa chama tawala, unaoweza kutoa mwelekeo wa taifa kwa ujumla.

Watanzania wasomi, wanasiasa, wanaharakati na wengine wengi walilalamikia ombwe (vacuum) la uongozi. Hili ni tatizo kubwa. Katika kitabu cha Uongozi wetu na hatma ya Tanzania, Nyerere alisema hulka huchukia ombwe (nature abhors a vacuum). Hata siasa huchukia ombwe. Kama uongozi ni mbovu, upoupo, au upo kama haupo, au upo kwa maslahi ya fulanifulani tu, watatokea watu waujaze uwazi uliopo. Hauwezi kuachwa hivihivi. Uongozi mbovu ni kama mzoga. Una hali ya kukaribisha fisi na mainzi. Tusidhani kuwa hulka ya siasa yetu ni tofauti na hulka ya siasa za watu wengine. Watu hawatakubali kuvumilia uongozi mbovu kwani wakifanya hivyo, wanajua fika watavuna “matunda ya uongozi mbovu.”

Nchi yetu ilikuwa imefikisha miaka 19 tangu iingie katika mfumo wa vyama vingi. Ni kweli kulikuwepo na vyama vya upinzani vyenye wanachama uzalendo na wenye hamu ya kuona mafanikio kwenye taifa letu, lakini vingi katika hivyo bado mpaka wakati huo havikuweza kuonyesha uwezo wa kushika madaraka na kuwa chama tawala mbadala. Demokrasia na mwenendo wa baadhi ya vyama vya siasa na ndani ya baadhi ya vyama vyenyewe imekatisha tamaa Watanzania.

Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2015 ajenda ya kutaka mabadiliko ilikuwa ni moja ya ajenda kuu kwenye vyama vya upinzani na chama tawala. Nyerere aliwaasa watanzania na hasa alikitahadharisha chama tawala kwamba, “Watanzania wanataka mabadiliko, wasipoyaona wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM”. Chama tawala CCM kiliichukulia suala la mabadiliko kwa umakini sana. Katibu Mkuu wa CCM alizunguka nchi nzima akiwaeleza watanzania mabadiliko yaliyohitajika. Kwa kifupi alikifufua Chama cha Mapinduzi na watanzania wakakiamini tena. Lakini pia CCM ilichukua hatua ya kuwaondoa waliotuhumiwa kwa ufisadi na kutoa rushwa kwenye kura za maoni ndani ya CCM. Harufu ya ufisadi na rushwa ndani ya CCM ikawa imepungua, kwani mtakumbuka wagombea wengi walikuwa wanapita kwenye makanisa na misikiti wakitoa rushwa. CCM ikawaondoa kwenye kugombea urais.

Wakati CCM imechukua hatua hizi, Chadema na UKAWA wakawa na mabadiliko ya kuzungusha mikono lakini ndani ya mioyo yao hawakutaka mabadiliko. UKAWA na Chadema waliokuwa na madai ya muda mrefu kwamba wanao ushahidi wa wale waliotuhumiwa ufisadi wakawakaribisha kwenye chama na kuwapa heshima ya kugombea nafasi za juu, ajenda ya udfisadi ikafa.

Tarehe 25 Oktoba watanzania wakatoa maamuzi, Mabadiliko Bado yatapatikana Ndani ya CCM na siyo Nje ya CCM.

Kutokana na mabadiliko ya uongozi yaliyotokea chini ya uongozi wa Rais John Pombe Magufuli watanzania wengi wamepata matumaini makubwai. Yale ambayo niliyapigania na kuyapigia kelele kwa wakati huo hadi kuhama CCM, kwa sasa chini ya uongozi wa Rais Magufuli yanatekelezwa. Ndiyo sababu ya msingi ya uwaomba watanzania wamuunge mkono Rais Magufuli na serikali yake.

Kwa muda mfupi wa JPM, serikali imeonyesha kuchukua hatua madhubuti kukabiliana na changamoto nyingi:

Je ni yapi yatufanye tuandamane kuipinga serikali ?

Je ni udikteta kuchukua hatua dhidi ya ufisadi bandarini uliokuwa uapoteza mabilioni ya fedha ?
Je ni udikteta kupiga vita uzembe na kutumia madaraka vibaya kwa viongozi mfano kujilipa mishahara 17 mtu mmoja?
Je ni udikteta kuchuku htua dhidi ya watumishi hewa serikalini na kwenye hlmashauri zetu ?
Je tuandamane kupinga kuboreshwa kwa huduma kwenye hospitali zetu ?
Je tuandamane kupinga kuletwa kwa ndege kwenye ATC ?
Je tuandamane kwa ajili ya hatua zilizochukuliwa kwa watoto kupata madawati mashuleni ?
Je tuandamane kwa hatua ya serikali kuchukua hatua ya kuhakikisha wachimbaji wadogo nao wananufaika na madini, kwa kupewa mchanga ?

Chadema na UKAWA wanadai demokrasia inaminywa. Je kuna demokrasia pana ndani ya Chadema ? au CUF ? Mgombea urais wa Chadema alipatikanaje ? Hiyo ni demokrasia pana ?

Nchi yetu ilipitia misukosuko mikubwa na changamoto nyingi, ipo haja kwa ssa upinzani kuunga mkono juhudi zinazochukuliwa na JPM wakati huo huo wakiikosoa serikali huko Bungeni, lakini kuitisha maandamano nchi nzima siyo uzalendo ni upotoshaji au uchochezi.
Ulivyoanza kuiandika na jinsi ulivyoimalizia tofauti, labda nikwakuogopea isiwe ndefu sana ila mimi nina haya:-
##wakat wauongozi wa awamu ya nne,nchi ilipoteza haiba ktk upande wamaadili kiasi kufikia idadi kubwa yawanaujiuza, ufisadi, wizi,nauvunjifi wahaki zakibinadamu## ,tunapozungumzia MAADILI hasa tunakusudia nini?? Nikweli sasa maadili yametengemaa???
Mbona wanaojiuza wanaendelea kujiuza nawanaongezeka, mbona majambazi wanaendelea nawanaongezeka kwakasi?? Au ujambazi uchanguduoa sio viashiria vya maadili mabovu??
Mbona serikali inasimamia baadhi ya intertainments zinazoashiria uvunjifu wamaadili bali hata kuzunguka nawasanii wanaoashiria uvunjifu wamaadili kwenye kampeni zao?? Ni maadili yapi unayoyakusudia hasa??
Tunaomba umtuwekee wazi maana ya MAADILI maana mnajicontradict ktk kutoa hukumu namaamuzi.

##pia kulikuwa na ombwe kubwa baina yamatajiri na masikini##
Hapa unamaanisha kubana matumizi ndo kumepelekea ombwe kupungua au??
Mbona tunapewa taarifa kuwa vijana wanapoteza kazi kutoka kwawaajiri wao nahili wanalifanya ilikumaintain mapato namatumizi yakampuni nakumaintain faida,
kwani sio kweli kuwa matukio yakijambazi yatokeayo kila siku nchini nikwasababu pesa haionekani ie pesa ikusanywayo haizunguki mikononi mwaraia??
....tuelezee kivipi hali yauchumi imeimarika hali yakuwa raia wanalia njaa.

####Huduma zajamii##
Hili lakuimarisha huduma hospitalini,mimi sijaliona tena linastusha huku tulipo sisi hatuna vipimo vya syphills, hatuna TT, hatuna chanjo nyingi za watoto na ARV's zinaisha, tueleze huduma gani zilizoimarika??

##SIO CCM, SIO CUF,SIO CHADEMA ANGEKAYE LETA MABADILIKO, KWASABABU MACHIMBUKO YAO YAKIJAMII/MAADILI,KISIASA NA KIUCHUMI NIMAMOJA ISIPOKUWA SERA TU NDO TOFAUTI##
 
Hayo ndo masharti alopewa na Mtukufu. Atumie kalamu yake kutetea chama, vingenevyo atopata nafasi. Yuko kwenye probation period. Nakuonea huruma sana coz huna uzito tena katika jamii. Ni ukabila tu ndo unakusumbua.

Eti maendeleo nje ya ssem, kwani Kenya ssem ipo? Think out of the box, kwanza ukilinganisha miak ya ssem madarakani na maendelo wanayoimba havilingani kabisa. sana unakuta vizi ni mwingi kuliko maendeleo. Linganisha kiwangi cha fedha ya misaada au mikopo kutoka benki kuu na maendeleo on the ground ni tofauti kabisa.

Endelea kujidanganya eti nje ya ssem hakuna maendeleo, wa TZ wa leo ni tafauti nawaenzi zile, waleo wanaiburuza serekali mahakamni wa enzi zile walitishwa sana.

kadri unavyozidi kuandika ndivyo unavyoendelea kujishusha kwenye jamii, tumeshakujua wewe ni kigeugeu. Unasubiri ndugu yako aingie madarakani kisha ugeuke.
 
Ushauri wa bure kwa ndg Mpendazoe: kaa kimya huna jipya kwenye siasa, wewe sawa na Lipumba, njaa kali!
 
Mpendazoe umerudi ccm wamekuharu huko ccm wamekupa kazi hii ya kupost jamiiforums kipin cha nyuma walikuwa wanafanya watoto wadogo tu maarufu kwa jina la Lumumba buku 7. sasa wameamua kukupa wewe kazi ya kushinda JF maana huna mkia. wenzako bado wanayo wakikuona wewe nyani mwenzao ila huna mkia wanakuwa na uoga.hivyo wanataka uhakikishe kama kweli nawe ni nyani kama wao....na ndo maana wamekupa kkazi ya mbele ya computer uwe unapost tu huku JF maana wenzio watu wazima wana majukumu mengi.

kiwango cha ujinga unaoonesha ni cha juu sana ni kiwango cha phd kabisa. kwa nini usinyamaze?au wewe hupendi kkuonekana una busara? nyamaza tumikia kafiri upate ujira wako baba. huku unajidhalilisha tu kama mtu aliyemkimbia mumewe mpya baada ya kukosa kununuliwa khanga akarudi kwa wazaman ambako wa zaman anamwambia awe msaidizi wa kazi za nyumban.

unapiga sana kelele kutaka kuonekana upo ili magufuli akuchague nafasi flan, maana ulilalamika kuwa chadema kupata cheo ni mpaka uwe unashiriki maandamano....ccm watakutafutia cheo.na nadhan umekipata cha kushinda kupiga kelele jf maana hata lumumba ukienda huna heshima...unawaya waya tu. kwa nini usingenyamaza tu maana umri nao unaenda.watoto wadogo wanaonekana wana heshima ccm kuliko wewe ambaye hukuwah kupata heshima popote pale baada ya kuonekana njaa ndo tatizo kubwa na vyeo.
 
Wakati wa uongozi wa awamu ya nne kulikuwa na mijadala mingi, mikubwa na midogo kuhusu mustakabali wa nchi yetu. Kulikuwepo na mazungumzo ya muda mrefu kuhusu mwelekeo wa jumla wa taifa letu, maadili ya taifa letu, uchumi wa nchi yetu nakadhalika. Ungesikiliza mazungumzo ya watu wengi wakati huo na ukisoma magazeti yetu, ilikuwa ni dhahili kuwa nchi yetu ilikuwa imekwama. Nchi yetu ilikabiliwa na changamoto nyingi hususan kuporomoka kwa maadili na tunu za taifa, kuongezeka kwa umaskini na tofauti ya kipato baina ya wachache walionacho na wengi wasionacho. Kuibuka kwa mgawanyiko katika misingi ya makundi ya kisiasa na jamii. Kuibuka na kushamiri kwa utamaduni na siasa chafu, malalamiko kuhusu Muungano wetu na mengineyo.

Mmomonyoko wa maadili ulidhihirishwa na ongezeko kubwa la rushwa na ufisadi, uvunjaji wa haki za binadamu, tabia na hulka ya viongozi kushindana kwa kujilimbikizia mali na kutoheshimiana. Mambo haya yaliondoa uzalendo, uadilifu, ufanisi, matumaini na imani ya wananchi kwa mfumo wa uongozi, viongozi wao na Serikali yao.

Ni dhahiri, Tanzania si nchi maskini isipokuwa inabidi ijipange katika matumizi ya rasilimali zake kama maliasili kwa ajili ya maendeleo ya taifa. Wananchi wengi walionyesha wasiwasi kwamba sehemu kubwa ya rasilimali au maliasili ilikuwa inawanufaisha wawekezaji wa kigeni na washirika wao ambao wana hisa na wachache wenye mamlaka ya kiserikali katika maeneo husika. Ni dhahiri uwekezaji huu ni unyonyaji uliopingwa awali na Azimio la Arusha.

Nchi yetu pia ilikabiliwa na inakabiliwa na changamoto za ukuaji wa uchumi usiogawanyika kwa usawa kunufaisha wananchi wote (equity). Wachache wananufaika na hivyo pengo kati ya maskini na tajiri linaongezeka. Tunashuhudia pia utajiri wa maliasili uliporwa kutokana na kushamiri kwa ufisadi na rushwa, kukosekana kwa uwajibikaji wa kisiasa na kiutawala na kuwepo kwa mkanganyiko katika asasi za utawala. Uwezo wetu wa kujiletea maendeleo tunayotaka ulikuwa ni mdogo. Nchi yetu ilibaki ni tegemezi kwa wahisani na wawekezaji kutoka nje.

Kulikuwepo na wimbi la vijana kuhamia mijini kwa matumaini ya kupata maisha bora, lakini wengi wao waliishia kuwa vibaka na wengine kuwa watumiaji wa dawa za kulevya. Idadi ya wasichana wanaojiuza mitaani iliongezeka. Haki za binadamu na za jamii hazikupewi kipaumbele na uzito wa matukio ya mauaji ya albino na hatua zisizoridhisha zilizochukuliwa na serikali ni mfano ambao ulioonyesha jinsi serikali ambavyo haikuwa makini hata kusababisha wananchi kukata tamaa. Aidha, haki za wageni zililindwa na kuheshimiwa kuliko za wenyeji. Wageni walitetewa kama wavunaji halali wa maliasili, lakini wenyeji wao ni wavuvi haramu, wawindaji haramu, na wavamizi wa maeneo yenye madini.

Changamoto nyingine kubwa ilikuwa ni kuongezeka kwa migongano ya mara kwa mara kati ya Serikali, Bunge na Mahakama. Mfano halisi ni pale ambapo Bunge lilishindwa kuisimamia Serikali kikamilifu kwa wabunge wa chama tawala kushinikizwa wakubaliane nayo au waitetee, hata ambapo ilikuwa na makosa katika utekelezaji wa shughuli zake. Ni dhajiri nchi yetu ilihitji mabadiliko.

Kwa muhtasari, wakati wa Mwalimu Nyerere nchi yetu ilikuwa maskini, lakini yenye upeo, mwelekeo na uwezo wa kisiasa ambao uliwashangaza wengi. Ilichukua msimamo thabiti kujenga ujamaa na kujitegemea, kuunga mkono na kushiriki katika mapambano ya ukombozi kusini mwa Afrika na kupinga siasa za udhalimu popote ulimwenguni. Nchi yetu pia ilijiamini kwa matamko, vitendo na kisiasa. Wakati huo kulikuwa na mwamko mkubwa ndani ya wananchi juu ya kufanya kazi ili kujitegemea na kuinua hali ya maisha yao. Kuanzia zama za rais Mwinyi hadi sasa nchi yetu imeendelea kuwa maskini na imezama kwenye utegemezi badala ya kupambana kwa dhati kuinua hali ya maisha ya wananchi. Ni Tanzania yenye tabaka zinazozidiana mali na kipato. Ni Tanzania iliyogubikwa na rushwa na ufisadi mkubwa. Ni Tanzania ilikuwa na ombwe la uongozi.

Kutokana na changamoto hizi, nchi yetu ilihitaji sana uongozi imara wa chama tawala, unaoweza kutoa mwelekeo wa taifa kwa ujumla.

Watanzania wasomi, wanasiasa, wanaharakati na wengine wengi walilalamikia ombwe (vacuum) la uongozi. Hili ni tatizo kubwa. Katika kitabu cha Uongozi wetu na hatma ya Tanzania, Nyerere alisema hulka huchukia ombwe (nature abhors a vacuum). Hata siasa huchukia ombwe. Kama uongozi ni mbovu, upoupo, au upo kama haupo, au upo kwa maslahi ya fulanifulani tu, watatokea watu waujaze uwazi uliopo. Hauwezi kuachwa hivihivi. Uongozi mbovu ni kama mzoga. Una hali ya kukaribisha fisi na mainzi. Tusidhani kuwa hulka ya siasa yetu ni tofauti na hulka ya siasa za watu wengine. Watu hawatakubali kuvumilia uongozi mbovu kwani wakifanya hivyo, wanajua fika watavuna “matunda ya uongozi mbovu.”

Nchi yetu ilikuwa imefikisha miaka 19 tangu iingie katika mfumo wa vyama vingi. Ni kweli kulikuwepo na vyama vya upinzani vyenye wanachama uzalendo na wenye hamu ya kuona mafanikio kwenye taifa letu, lakini vingi katika hivyo bado mpaka wakati huo havikuweza kuonyesha uwezo wa kushika madaraka na kuwa chama tawala mbadala. Demokrasia na mwenendo wa baadhi ya vyama vya siasa na ndani ya baadhi ya vyama vyenyewe imekatisha tamaa Watanzania.

Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2015 ajenda ya kutaka mabadiliko ilikuwa ni moja ya ajenda kuu kwenye vyama vya upinzani na chama tawala. Nyerere aliwaasa watanzania na hasa alikitahadharisha chama tawala kwamba, “Watanzania wanataka mabadiliko, wasipoyaona wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM”. Chama tawala CCM kiliichukulia suala la mabadiliko kwa umakini sana. Katibu Mkuu wa CCM alizunguka nchi nzima akiwaeleza watanzania mabadiliko yaliyohitajika. Kwa kifupi alikifufua Chama cha Mapinduzi na watanzania wakakiamini tena. Lakini pia CCM ilichukua hatua ya kuwaondoa waliotuhumiwa kwa ufisadi na kutoa rushwa kwenye kura za maoni ndani ya CCM. Harufu ya ufisadi na rushwa ndani ya CCM ikawa imepungua, kwani mtakumbuka wagombea wengi walikuwa wanapita kwenye makanisa na misikiti wakitoa rushwa. CCM ikawaondoa kwenye kugombea urais.

Wakati CCM imechukua hatua hizi, Chadema na UKAWA wakawa na mabadiliko ya kuzungusha mikono lakini ndani ya mioyo yao hawakutaka mabadiliko. UKAWA na Chadema waliokuwa na madai ya muda mrefu kwamba wanao ushahidi wa wale waliotuhumiwa ufisadi wakawakaribisha kwenye chama na kuwapa heshima ya kugombea nafasi za juu, ajenda ya udfisadi ikafa.

Tarehe 25 Oktoba watanzania wakatoa maamuzi, Mabadiliko Bado yatapatikana Ndani ya CCM na siyo Nje ya CCM.

Kutokana na mabadiliko ya uongozi yaliyotokea chini ya uongozi wa Rais John Pombe Magufuli watanzania wengi wamepata matumaini makubwai. Yale ambayo niliyapigania na kuyapigia kelele kwa wakati huo hadi kuhama CCM, kwa sasa chini ya uongozi wa Rais Magufuli yanatekelezwa. Ndiyo sababu ya msingi ya uwaomba watanzania wamuunge mkono Rais Magufuli na serikali yake.

Kwa muda mfupi wa JPM, serikali imeonyesha kuchukua hatua madhubuti kukabiliana na changamoto nyingi:

Je ni yapi yatufanye tuandamane kuipinga serikali ?

Je ni udikteta kuchukua hatua dhidi ya ufisadi bandarini uliokuwa uapoteza mabilioni ya fedha ?
Je ni udikteta kupiga vita uzembe na kutumia madaraka vibaya kwa viongozi mfano kujilipa mishahara 17 mtu mmoja?
Je ni udikteta kuchuku htua dhidi ya watumishi hewa serikalini na kwenye hlmashauri zetu ?
Je tuandamane kupinga kuboreshwa kwa huduma kwenye hospitali zetu ?
Je tuandamane kupinga kuletwa kwa ndege kwenye ATC ?
Je tuandamane kwa ajili ya hatua zilizochukuliwa kwa watoto kupata madawati mashuleni ?
Je tuandamane kwa hatua ya serikali kuchukua hatua ya kuhakikisha wachimbaji wadogo nao wananufaika na madini, kwa kupewa mchanga ?

Chadema na UKAWA wanadai demokrasia inaminywa. Je kuna demokrasia pana ndani ya Chadema ? au CUF ? Mgombea urais wa Chadema alipatikanaje ? Hiyo ni demokrasia pana ?

Nchi yetu ilipitia misukosuko mikubwa na changamoto nyingi, ipo haja kwa ssa upinzani kuunga mkono juhudi zinazochukuliwa na JPM wakati huo huo wakiikosoa serikali huko Bungeni, lakini kuitisha maandamano nchi nzima siyo uzalendo ni upotoshaji au uchochezi.

Tehe tehe tehe maana unachosha, ww rudi mtaanai nakumbuka mwenyekiti alishasema wanaorejea ni sawa na ng'ombe aliyekatwa mkia, si sikushangai wewe achana na siasa andaa maisha yako ya ustaafu, familia yako, na ndugu kwa ujumla.

Tunawakumbuka hawa hapa chini?

upload_2016-8-24_13-37-33.png
 
JAMANI tumeambiwa tukafyatue watoto hii Hari ya ugumu wa Misha huu mfyetuko utakula nini?
 
Back
Top Bottom