Je, maadui wa mwanamke kufika kileleni ni nini?

Je, maadui wa mwanamke kufika kileleni ni nini?

Mh. Sababu kubwa ni mwanaume mwenyewe
Vijana wa siku hizi mmekuwa kama kuki wa kisasa, kama wewe tu kwenye tendo unafanya ukiwa na mawazo sijui atafika au hatofika kisa unajua hutokaa hata dakika tano juu na hutopata hata ka raundi ka pili.
Hii ni kwa sababu hisia za mwanamke hua ziko mbaaaaaaali mnoo zinahitajika zisogezwe karibu kwa ujuzi na si kingine ni baada ya maandalizi kinachozichota ni dude.

Hata hivi kutokana ufikaji kileleni imekuwa historia kwa sababu ya wanaume wazembe, wameamua kukubali yaishe.
 
KUKEKETWA(Female Genital Mutilation) : Kukeketwa ni kitendo cha kukata sehemu ya uke hasa kisimi kwa wanawake. Katika Afrika kuna nchi 28 ambazo hufanya hicho kitendo cha kikatili, na pia nchi kama Yemen na Indonesia bado wanafanya.

Ingawa wanawake waliokeketwa huweza kurudia hali ya kuweza kufika kileleni, walio wengi huathiriwa sana na hiki kitendo na kuwasababishia kushindwa kufika kieleleni.

DINI, JADI NA UTAMADUNI : Kuna baadhi ya mitazamo na malezi ya dini, jadi au tamaduni huwapa wanawake mtazamo mbaya, finyu na usio na maana kuhusiana na tendo la ndoa. Katika dini, jadi, na tamaduni nyingi ukiacha jando na unyago, elimu ya mwanamke kuhusu mwili na uzazi havifundishwa wala kutamkwa.

Matokeo yake wanawake wengi hawaijui miili yao, kiasi ambacho unakuta kijana wa kiume anamuoa binti hajui chochote kuhusu mwili wa huyo mwanamke na mwanamke mwenyewe hajui chochote kuhusu mwili wake mwenyewe, akiguswa chuchu anakataa kwani ni kwa ajili ya mtoto, hapo utategemea afikishwa kileleni kweli? Kisaikolojia.

Hili huchangia kwa asilimia 95 kwa matatizo yote yanayosababisha mwanamke asifike kileleni. Adui mkubwa anayetisha sana wa mwanamke kutofika kileleni ni akili (mind.) Hofu labda ya kuachwa, mashaka, kutojiamini, kukasirika, donge moyoni, kisirani au mahusiano kutokuwa mazuri huweza kusababisha mwanamke kutofika kileleni.

Kushindwa ku- concentrate kwenye tendo lenyewe na kupata hisia halisi (sensations), Kuwa na mawazo ya kitu kingine wakati wa tendo la ndoa Mawazo hasi (Negative) kuhusu tendo la ndoa, pia Kuwa mchomvu.

Kibailojia Kama vile kuwa na mfumo ovyo wa mzunguko wa damu kwenye maeneo ya viungo vya uzazi pia huchangia. Anaweza kuwa na uvimbe au kisukari pia huchangia. pia hitilafu za viungo baada ya kufanyiwa upasuaji hasa sehemu ya uke.

UMRI (Menopause) : Kuna wakati mwanamke kuanzia miaka 48 – 52 hupata mabadiliko ya upungufu wa homoni na huo upungufu husababisha sehemu ya uke kuwa kavu wakati wa tendo la ndoa.

Kuwa na uke mkavu huchangia katika ufanisi wa tendo la ndoa kuwa mdogo na hatimaye kushiondwa kufika kileleni Si kweli kwamba mwanamke akizeeka uwezo wa tendo la ndoa unakuwa mdogo, muhimu ni kutumia vilainisho kama gel au KY jelly na libeneke linaendelea kama kawaida.

MATUMIZI YA MADAWA (Medicaments) : kama unatumia dawa za kuzuia msongo wa mawazo pia huchangia ile hamu ya tendo la ndoa (libido) na matokeo yake kukosa kufika kileleni.


View attachment 641312
Hivi kweli hakuna story nyingine zaidi ya hizi za kufika kileleni maana imeishakuwa kero,kila siku kileleni mnakela jamani .Watanzania tufanye kazi tuache kufikilia anasa kuliko kazi.
 
Kiwanda cha kileleni on progress... na hii article ni module ya industialisation and sex engineering science ....
 
Hivi kweli hakuna story nyingine zaidi ya hizi za kufika kileleni maana imeishakuwa kero,kila siku kileleni mnakela jamani .Watanzania tufanye kazi tuache kufikilia anasa kuliko kazi.
Wewe ulitokea wapi nkuulize labda au nini kilifanyika hadi wewe kuwepo hapa duniani
 
Back
Top Bottom