Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,801
Aina ya limbwata ambalo jike langu huwa anitengenezea, Nikiondoka tumekosana, Huwa anagonga miimo ya mlango kwamba hasira zangu ziishie nje, Nikitia maguu ndani ni furaha na upendo tu.Hapo umemaanisha??
Basi hii ni aina nzuri ya limbwata mkuuAina ya limbwata ambalo jike langu huwa anitengenezea, Nikiondoka tumekosana, Huwa anagonga miimo ya mlango kwamba hasira zangu ziishie nje, Nikitia maguu ndani ni furaha na upendo tu.
Lipo tena sanaaUnaamini limbwata lipo??
Limbwata ipo ukiamini, na mapenzi yapo yakikukokea hutofautishi na limbwata, all in all mapenzi ya wacha Mungu raha sana
Lipo tena sanaa
Hahahaha itabidi nimwambieKama una dada hajaolewa mwambie mi nipo, nasubiri
Omba sana upate mwanamke mstaarabu baba wenzio wanalia huko nakwambiaMimi nakataa, nasema halipo kama unabishana Jaribu kuniwekea kama litanipa
Ndio mkuu, imani ni kitu kikubwa na hufanya kaziUnamaanisha kama huamini halipo haliwezi kukuta si ndiyo mkuu
Samahani! Hivi limbwata lipo la aina nyingi au nile tu la kulishwa nyama iliyohifadhiwa maeneo pendwa?Omba sana upate mwanamke mstaarabu baba wenzio wanalia huko nakwambia
Ndio mkuu, imani ni kitu kikubwa na hufanya kazi
Omba sana upate mwanamke mstaarabu baba wenzio wanalia huko nakwambia
Hahaha zipo nyingi ila wanasema hyo ya nyama ya chumvini ndo hukolea zaidiSamahani! Hivi limbwata lipo la aina nyingi au nile tu la kulishwa nyama iliyohifadhiwa maeneo pendwa?
NtakuekeaNaomba MUNGU ndiyo lakini samini kama lipo
Ntakuekea
AiseeHahaha zipo nyingi ila wanasema hyo ya nyama ya chumvini ndo hukolea zaidi
Eee bhana ndo hvoAisee
Eee bhana ndo hvo
Ni kweli wa mtwara shkamoo wengi nmewashuhudiaBujibuji sikuwa ninaamini haya mambo lakini Wamakonde kutoka Ntwara mpaka Mozambique ni nyoko sana kwa mambo hayo.
Tenacwashenzi wale wanatumia miti tu. majaliwa, magnate au mizizi na mganga wa kweli anakwambia utanipa asante ukifanikiwa.