Je, limbwata lipo?

Je, limbwata lipo?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,432
Mimi nililetewa hadi mimba nikasamehe, nilishafumania nikasamehe, nilishaitwa majina ya watu katikati ya game nikasamehe.

Sikujua kama ningeweza kuishi bila yule mdada, after six good yrs alipata mwanaume akaniacha nikaweweseka sana mikawa mlevi ni hatari kazini hawanielewi nikakonda kwa mawazo.

Huko alikoenda alitandikwaga hadi akang'olewa jino wengine hawataki ujinga. Akajaribu kurudi kwangu akakuta moyo umekunjamana namuona kama shetani kinyago. Kila nikikumbuka ile hali najiona jinsi nlivokuwaga mjinga.

Usicheze na mapenzi.

Namuomba Mungu hii hali isije ikanirudia tena kwa mwanamke nitayeishi nae.
 
images-1.jpg

Naomba kuwakilisha
 
Mimi nililetewa hadi mimba nikasamehe...nilishafumania nikasamehe...nilishaitwa majina ya watu katikati ya game nikasamehe... Sikujua kama ningeweza kuishi bila yule mdada...after six good yrs alipata mwanaume akaniacha nikaweweseka sana mikawa mlevi ni hatari kazini hawanielewi nikakonda kwa mawazo. Huko alikoenda alitandikwaga hadi akang'olewa jino wengine hawataki ujinga. Akajaribu kurudi kwangu akakuta moyo umekunjamana namuona kama shetani kinyago. Kila nikikumbuka ile hali najiona jinsi nlivokuwaga mjinga...usicheze na mapenzi.
Namuomba Mungu hii hali isije ikanirudia tena kwa mwanamke ntaeishi nae
Una moyo wa ajabu kaka pamoja na kutendwa huko bado unaamini katika mapenzi,,hadi unasema unaomba hali isijirudie tena dooh kweli ya Mungu mengi
 
Limbwata ipo ww huoni jiwe lilivyopagawa kwa bashite?
 
Back
Top Bottom