Hapana sio kituo mwaka 95 Blackburn rovers walitwaa kikombe kimchezo mchezo hivi hivi enzi za kina shearer na daren pickcoke.Kwa hiyo itakua kituko ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaa just imagine
Hivi kwa nini kila mtu kakazana ni msimu wa Arsenal? Kwani timu zingine hamna? Kombe atabeba yeyote kama siku zingine. Atakayeshinda ndo anastahili. Sisi wa Arsenal tunaamini tutabeba, ila nawashangaa na watu wengine wako bize kusema ni mwaka wetu huu, hata mwakani na kuendelea ni mwaka wetu. EPL imebadilika, jinsi ilivyo msimu huu ndivyo itakavyokuwa misimu mingine, hamna cha sijui chelsea itarudi, sijui Guardiola kaja mara Mourinho sijui, hamna! Ligi itakuwa competitive hivi hivi na siai tutaendelea kuwa in the mix of things.mimi nawasikitikia sana arsenal, maana ndio ulikua msimu wao huu, na hautakaa utokee tena
yaani WAMENIBOA HADI BASI
Na munkari ni wa Stand ile iliopanda ligi kuu!!Huwezi kuwafananisha na Azam.. Labda Stendi au Ndanda.. Azam wana pesa na wananunua wachezaji ghali..
Kwenda kule!Bingwa arsenal usituletee uchuro season hii ya kwetu!ME NAKUAMBIA WANACHKUA
pole Bro!Kwenda kule!Bingwa arsenal usituletee uchuro season hii ya kwetu!
dah! wanajua wenyewe ilipoendaKulikua n.a. special thread Yao humu imepotelea waPi¿
Ngoja arsenal wakuskiehao ndio mabingwa..game ijayo wakimpiga arsenal basi biashara itakuwa imeisha
Hakuna ubishihao ndio mabingwa..game ijayo wakimpiga arsenal basi biashara itakuwa imeisha
Nani aliyekudanganya kuwa Man United wamepotea!! Labda wewe unaisemea Liverpool na sio Man United.Actually arsenal kama wanataka wapotee kabisa wambadilishe kocha. Yaani watapotea zaidi ya Manchester united !
Wewe Jamaa nawe vipi!! Mchezaji gani ghali waliomnunua Azam!!!!Huwezi kuwafananisha na Azam.. Labda Stendi au Ndanda.. Azam wana pesa na wananunua wachezaji ghali..
kibongo bongo Azam Fc wako juu ukilonganisha ña nchi yoyote E.africa kama Paschal Wawa anachukua mil. 28 kwa mweziWewe Jamaa nawe vipi!! Mchezaji gani ghali waliomnunua Azam!!!!
hakuna kitu kama hicho , inategemea wamemleta kocha gani , assume tumemlta Antonio conte au diego simeone , ww unafikiri tutapotea ?Actually arsenal kama wanataka wapotee kabisa wambadilishe kocha. Yaani watapotea zaidi ya Manchester united !
Kwa sababu team kubwa karibia zote zinafanya vibaya sana ila Arsenal yetu ndo inaperform vizuri! Labda nikukumbushe hii Epl ilianza huu mtindo wa Top four(ngumu) mwaka 2004 na tangu hapo Wenger amegeuka fala flan! Kimsingi naamini Wenger hawez competition kabisa! Labda akafundishe Madrid ili Barca akiwa mbovu anachukua ndoo na ndicho alichokiwa akikifanya huko nyuma! Yeye na Man ndo walikuwa wababe wa Epl hivyo Man alipokosa basi alipata yeye tofauti na sasa! I dont trust Wenger anymore na am sure tutakuwa no 4 msimu huu! Tunza coment yanguHivi kwa nini kila mtu kakazana ni msimu wa Arsenal? Kwani timu zingine hamna? Kombe atabeba yeyote kama siku zingine. Atakayeshinda ndo anastahili. Sisi wa Arsenal tunaamini tutabeba, ila nawashangaa na watu wengine wako bize kusema ni mwaka wetu huu, hata mwakani na kuendelea ni mwaka wetu. EPL imebadilika, jinsi ilivyo msimu huu ndivyo itakavyokuwa misimu mingine, hamna cha sijui chelsea itarudi, sijui Guardiola kaja mara Mourinho sijui, hamna! Ligi itakuwa competitive hivi hivi na siai tutaendelea kuwa in the mix of things.
Ndoo tunabeba, leicester watakuwa wa tatu, mancity wa pili na Manu wa nne.