Je, Leicester City ndio mabingwa wapya Ligi kuu Uingereza?

Leicester city ni mabingwa tayari
Hutak unaacha
Kwa abroad tofauti na sisi hata wasiponyakua trophy
Kumaliza nafasi ya 4 kwao ni bonge la ushinde hasa kwa championship kubwa km EPl
 
Arsenal mchawi wao ni WENGER wakimtimua tuu wanachkua UEFA na ligi ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaa
Actually arsenal kama wanataka wapotee kabisa wambadilishe kocha. Yaani watapotea zaidi ya Manchester united !
 
mimi nawasikitikia sana arsenal, maana ndio ulikua msimu wao huu, na hautakaa utokee tena
wakubwa wote walianguka,man city nae alikua anasua sua bas hata kukaza ameshndwa anafungwa na timu za kisengerema wakat leicesteq akikutana na wadogo wenzake anatia nyingi...nimewadharau kweli wapo kama mkasi wanakata huku wanatiwa vidole nyuma..anashnda na man af anafungwa na southampton
 
Back
Top Bottom