wana jf nina laptop aina ya dell latitude 620 nikiangalia naona kitu kama web nimejaribu ku - connect haijafanya kazi .nimenunua external webcam lkn inaonyesha picha giza na ninatumia win 7 naomba msaada ili nami niwe na enjoy
sijawahi kuona dell ya d620 yenye webcam, na isitoshe kuiwekea win 7 nnahakika umeipa mzigo bure tu usio wake, maana ni designed for win xp na ndo inakuwa imetulia kuliko ikiwa na win7..nna wasiwasi na hata driver unazotumia either nyingine huna na ulizonazo nyingi umeforce kitu ambacho kitakuletea shida siku za usoni!
ningekushauri uirudishie tu xp yake kama unaweza ndo utainjoy...Dell Latitude D620 Review (pics, specs)
na kuhusu hiyo wbcam ya usb kuonyesha giza inategemea na settings za webcam na aina ya webcam yenyewe...kuna nyingine kimeo tu hata ufanyaje display yak unakuta iko poor tu!!!
mkubwa usipotoshe jamii, kuhusu win 7 au xp hizo zote zinategemea ukubwa wa ram, nina dell lattud d620 ila ram yake ni 1gb na ina w.7 na mzgo inapga kama kawaida, so usiclem vtu broda, uwezo wa ram ndio unafanya systm kuwa faster.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.