Je kwanini watanzania wengi ni LEGELEGE?

Je kwanini watanzania wengi ni LEGELEGE?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,263
Reaction score
685
Kwa muda sasa watanzania wamekuwa wakimungunya mungunya maneno kuwa wanakandamizwa eti hali yao mbaya, ukienda mtaani vijiweni utakuta wanaongelea dowans, kupanda kwa maisha, IPTL , EPA, kagoda. RA etc huku serikali yao inasema mambo ni safi

Ukija hapo JF unakuta watu wako nyuma ya monitor zao wanacheza na keyboard kama kawaida wanamungunya mungunya bila kutenda.

Je kama wewe mwanaJF hii hali unaonaje?

Watanzania wamekuwa mazezeta?

WanaJF wamekuwa wamungunyaji wa maneno?
 
Kwanini wanaJF wanaandika kuamasisha watu huku wenyewe wako nyuma ya keyboard?

Kwanini wanakuwa legelege hivi?
 
Wewe je? Umejipina na kujua si legelege tupe kipimo ulichotumia.
 
Kwanini wanaJF wanaandika kuamasisha watu huku wenyewe wako nyuma ya keyboard?

Kwanini wanakuwa legelege hivi?[/QUOTE]

Hilo swali ungemuuliza baba wa taifa mapema kabla hajatuaga.
 
Back
Top Bottom