Je, kwanini wananawake wamekuwa wakijitokeza kwa wingi zaidi katika mikutano ya CCM?

ChekoFagia

Senior Member
Joined
Sep 20, 2025
Posts
115
Reaction score
339
Wakuu

Je, wingi wa wanawake katika mikutano ya CCM unaakisi nguvu ya mtandao wa uhamasishaji kupitia jumuiya na vikundi vya kijamii, mvuto wa ajenda zinazogusa maisha ya kila siku kama huduma za jamii na fursa za kiuchumi, au athari za motisha na mazingira ya ushawishi wa kijamii maswali yanayofungua mjadala mpana unaohitaji ushahidi na utafiti kabla ya kutoa hitimisho la jumla.
 
Hata kwenye mikutano ya manabii wa uongo wanawake ndio wengi. Ukifuatilia kwa undani utakuta hilo ndio kundi lenye wajinga wengi.
 
Wateja ni wengi pande hizo ila pia uwezekano wa kubebwa ni mkubwa. Msambawanda wako tu.
 
Wakuu

Je, wingi wa wanawake katika mikutano ya CCM unaakisi nguvu ya mtandao wa uhamasishaji kupitia jumuiya na vikundi vya kijamii, mvuto wa ajenda zinazogusa maisha ya kila siku kama huduma za jamii na fursa za kiuchumi, au athari za motisha na mazingira ya ushawishi wa kijamii maswali yanayofungua mjadala mpana unaohitaji ushahidi na utafiti kabla ya kutoa hitimisho la jumla.
Wanawake gani wa wapi, mkoa, wilayazipi etc? Wa hadhi gani? Wa uelewa upi wa kuchanganua mambo, elimu gani?

Kama ni Lumpen proletariats ni hadhi yao kuwepo kwa majitu malaghai!
 
Wanawake wengi hupenda kujitokeza kwenye mikusanyiko tu .

Mimi mama yangu ni chadema damu na humwambii kitu kuhusu lissu, ila kwenye mikutano ya ccm yupo .

Ataachaje kuwepo , ili aonyeshe gauni Lake jipya ,kilemba na kiatu cha bei mbaya?
 
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom