Je kwanini tunacheat au kuchepuka?

Je kwanini tunacheat au kuchepuka?

Bila ushabiki au mhemko au kufurahisha genge kuna wanaume hatuchepuki kbs sio kwakuwa hatuna kipato lah hasha, tunaijua na kuijali thamani ya familia zetu, zinakuwepo kelele aina zote na makwazo mengi lakini tunaishi ktk utimamu wetu wa akili ktk ukamilifu wake na hatupungukiwi na chochote.
 
Sababu zipo mfano likaekwa buffet ya vyakula tofauti , na upande mwengine chakula kimoja tu utakwenda wapi?Ndio maana dini ya kiisilamu ikaruhusu kuoa wanne ndio hilo buffet.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] bado iyo sababu mkuu wangu! Kwaiyo unataka kumfananisha mwanamke na msosi?
 
Wengi wetu tunatamani kutulia na mwenzio yaan wa peke yako katika mahusiano/mapenzi.

Ni kitu gani kinakufanya uchepuke au kucheat?

Tupia sababu
Wanawake wana milio tofauti wakati wa kuwakaz...... mwingine kama beberu,mwingine kama punda,mbuzi so inabidi kuchakata tofauti ili usikie milio zaidi
 
Back
Top Bottom