Chimbekeha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2018
- 1,193
- 2,177
Ngoja nianzie mbali kidogo kwa mujibu wa SAYANSI, kuna viumbe hai ambao wamegawanyika katika makundi mawiliKunguru ni ndege sio mnyama.mimi nazungumzia wanyama.
1.wanyama
2.mimea
1.wanyama wakagawanyika katika makundi matano;
-mamalia
-reptilia
-ndege
-amfibia
-minyoo
Pia katika mimea nako vile vile wakuu kuna mgawanyo