Je kwa siasa hizi CCM itabaki!

Je kwa siasa hizi CCM itabaki!

japanese

Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
13
Reaction score
16
Wakati akiwa Kigoma mgombea urais wa CCM bwana Magufuli, aliyekuwa akimnadi mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi bwana Bulembo alidai CCM haiwezi kuiachia ikulu na alipokuwa Chato, mwenyekiti wa mkoa bwana Msukuma alimdhihaki mgombea wa UKAWA eti alijinyea na Leo hapa Geita wanadai Lowassa kaleta makomandoo tokea Israeli ili waje kuharibu uchaguzi nafikiri mgombea wa CCM ameishiwa hoja za kuwaeleza wananchi ndio maana zinatolewa nafasi kwa kila kwenye la kusema aseme ili muda uende.

Naona CCM hawana hoja za kuwaambia wananchi kwa nini waendelee kuwaamini na mbadala wake ni kuwapa jukwaa watu kama Bulembo, Msukuma, Lusinde, Origino komedi, wakaa uchi kama akina Wema ili wakitetee chama mbele ya watanzania waliochoka na siasa rahisi na zisizotatua matatizo yao.
 
Wakati akiwa kigoma mgombea uraisi wa ccm bwana magufuli ,aliyekuwa akimnadi mwenyekiti wa jumuia ya wazazi bwana bulembo alidai ccm haiwezi kuiachia ikulu na alipokuwa chato mwenyekiti wa mkoa bwana msukuma alimdhihaki mgombea wa ukawa eti alijinyea na Leo hapa geita wanadai lowassa kaleta makomandoo tokea Israeli ili waje kuharibu uchaguzi nafikiri mgombea wa ccm ameishiwa hoja za kuwaeleza wananchi ndio maana zinatolewa nafasi kwa kila kwenye la kusema aseme ili muda uende,naona ccm hawana hoja za kuwaambia wananchi kwa nini waendelee kuwaamini na mmbadala wake ni kuwapa jukwaa watu kama bulembo, msukuma,lusinde ,origino komedi,wakaa uchi kama akina wema ili wakitetee chama mbele ya watanzania waliochoka na siasa rahisi na zisizotatua matatizo yao.
mkuu hizo zote ni dalili za kufa kwa ccm.ashukuriwe Mungu wa Mbinguni kwa ccm kufa kabla ya October 25
 
Wakati akiwa Kigoma mgombea urais wa CCM bwana Magufuli, aliyekuwa akimnadi mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi bwana Bulembo alidai CCM haiwezi kuiachia ikulu na alipokuwa Chato, mwenyekiti wa mkoa bwana Msukuma alimdhihaki mgombea wa UKAWA eti alijinyea na Leo hapa Geita wanadai Lowassa kaleta makomandoo tokea Israeli ili waje kuharibu uchaguzi nafikiri mgombea wa CCM ameishiwa hoja za kuwaeleza wananchi ndio maana zinatolewa nafasi kwa kila kwenye la kusema aseme ili muda uende.

Naona CCM hawana hoja za kuwaambia wananchi kwa nini waendelee kuwaamini na mbadala wake ni kuwapa jukwaa watu kama Bulembo, Msukuma, Lusinde, Origino komedi, wakaa uchi kama akina Wema ili wakitetee chama mbele ya watanzania waliochoka na siasa rahisi na zisizotatua matatizo yao.

Wamewajuwaje makomandoo wa Israel kama Saddam Hussein ambaye alitangazwa dunia yote hawakumjuwa kuwa alikuwa rais wa Iraq na siyo Kuwait.

Hawa watu kweli wamechoka, kuwapa tena utawala ni kutafuta laana kutoka kwa Mungu. Halafu mbona wanalalamika sana wakati bado wana dola angalao kwa siku hizi chache kufikia judgement day 25/10??
 
Amini Hakika nakwambia, Lowasa ALIJINYEA!

Mtu hushawishiwa ili akupigie kura na sio kuwatukana. Ugomvi wa watanzania walio wengi sio Lowasa ni ccm! Nadhani hamjatambua adui yenu mpaka sasa ni nani. Endeleeni kutukana tu mtakipata mnachokitafuta.
 
Wakati akiwa Kigoma mgombea urais wa CCM bwana Magufuli, aliyekuwa akimnadi mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi bwana Bulembo alidai CCM haiwezi kuiachia ikulu na alipokuwa Chato, mwenyekiti wa mkoa bwana Msukuma alimdhihaki mgombea wa UKAWA eti alijinyea na Leo hapa Geita wanadai Lowassa kaleta makomandoo tokea Israeli ili waje kuharibu uchaguzi nafikiri mgombea wa CCM ameishiwa hoja za kuwaeleza wananchi ndio maana zinatolewa nafasi kwa kila kwenye la kusema aseme ili muda uende.

Naona CCM hawana hoja za kuwaambia wananchi kwa nini waendelee kuwaamini na mbadala wake ni kuwapa jukwaa watu kama Bulembo, Msukuma, Lusinde, Origino komedi, wakaa uchi kama akina Wema ili wakitetee chama mbele ya watanzania waliochoka na siasa rahisi na zisizotatua matatizo yao.
Mkuu unajua nilicheka sana aliposema Chato LOWASA hakupata watu na Geita pia. Kwa kweli kama watu waliokuja Geita wote watampigia kura Lowasa , Magufuri hawezi hata kupata 20% ya kura za urais.
 
Mhe. Lowassa usiwasikie hao wanaokutukana ila siku ukishika madaraka mmoja baada ya mwingine aje atoe ushahidi yale aliyoyasema kama akikosa ushahidi ashughulikiwe ipasavyo.
 
INASIKITISHA SANA kwa kweli kuona udhalilishaji mkubwa kiasi iki jamani.Hizi ndo siasa za Tanzania kweli...
 
ccm wamekata tama....sasa wamefikia hatua ya kifo cha nyani ambacho kila mti huteleza
 
Watu wanao kwende kwenye mkutano wa ccm wanafata muziki sio magufuli wala nani wee angalia mziki ukiwekwa watu wana cheza ila rohoni ni lowasa sikuile wameulizwa raisi nani wakasema lowasa hawaja rudia tena kuuliza watu
 
Amini Hakika nakwambia, Lowasa ALIJINYEA!

Aisee kwa siasa hizi ccm kweli hawana maadili nashukuru Mungu hata wazee wale waliokuwa wana wasapport wamegundua wahuni wote wamebaki ccm poor u...
 
Hapa kazi TU
 
Attachments

  • 1442937957561.jpg
    1442937957561.jpg
    21.9 KB · Views: 369
Wa tuambie walifanya nini watatufanyia nini ni vip wataweza kuweka moral kwa watz wapende kuwa watz na si kujutia kuwa watz waache matusi. Watanzania sasa Mabadiliko ni habari ya mji na mtaa sasa wacha mi ni pite tu. Zimebaki siku chache sana tuta jua
 
Amini Hakika nakwambia, Lowasa ALIJINYEA!

Sioni shida na sidhani kama kuna binadamu asiyewahi kubanwa na tumbo LA kuhara na option ni mbili tu kuwahi chooni na ukichelewa mzigo huwa hausubiri MTU so wewe unayeshangaa ni kukosa busara tu na nikikukadilia umri wako sidhani kama unafika miaka 12 kwa Tania zako za kucheka ugonjwa
 
Wamewajuwaje makomandoo wa Israel kama Saddam Hussein ambaye alitangazwa dunia yote hawakumjuwa kuwa alikuwa rais wa Iraq na siyo Kuwait.

Hawa watu kweli wamechoka, kuwapa tena utawala ni kutafuta laana kutoka kwa Mungu. Halafu mbona wanalalamika sana wakati bado wana dola angalao kwa siku hizi chache kufikia judgement day 25/10??

Mkuu hapo kwenye Kuwait umenifanya nicheke peke yangu mpaka watu wameshangaa. Kumbe tumekuwa tukipewa takwimu za kichina kuhusu idadi ya samaki na mayai yake.
 
Back
Top Bottom