Je kwa siasa hizi CCM itabaki!

Je kwa siasa hizi CCM itabaki!

Mtu hushawishiwa ili akupigie kura na sio kuwatukana. Ugomvi wa watanzania walio wengi sio Lowasa ni ccm! Nadhani hamjatambua adui yenu mpaka sasa ni nani. Endeleeni kutukana tu mtakipata mnachokitafuta.

Hivi kama kweli alijinyea tusi hapo liko wapi? Kama ni uongo bisha, siyo kujitetea eti ametukanwa
 
Hivi kama kweli alijinyea tusi hapo liko wapi? Kama ni uongo bisha, siyo kujitetea eti ametukanwa

Weka ushahidi hapa, nani hawajui nyie wataalamu wa kuzua uongo! Mnadhani kufanya hivyo itawasaidia? Poleni sana!
 
Wakati akiwa Kigoma mgombea urais wa CCM bwana Magufuli, aliyekuwa akimnadi mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi bwana Bulembo alidai CCM haiwezi kuiachia ikulu na alipokuwa Chato, mwenyekiti wa mkoa bwana Msukuma alimdhihaki mgombea wa UKAWA eti alijinyea na Leo hapa Geita wanadai Lowassa kaleta makomandoo tokea Israeli ili waje kuharibu uchaguzi nafikiri mgombea wa CCM ameishiwa hoja za kuwaeleza wananchi ndio maana zinatolewa nafasi kwa kila kwenye la kusema aseme ili muda uende.

Naona CCM hawana hoja za kuwaambia wananchi kwa nini waendelee kuwaamini na mbadala wake ni kuwapa jukwaa watu kama Bulembo, Msukuma, Lusinde, Origino komedi, wakaa uchi kama akina Wema ili wakitetee chama mbele ya watanzania waliochoka na siasa rahisi na zisizotatua matatizo yao.

Propaganda hazina nafasi kwa sasa,tunamtaka Lowasa tu hayo mengine wayapeleke makwao
 
Jina tu la huyo kiumbe ni kithibitisho kuwa PANA JAMBO hapa.
Na kwa mpandano huu CD,sidhan kama unit hazijaisha kichwani mwa KOJO.
Pole sana bwana MAkojo!.
 
Amini Hakika nakwambia, Lowasa ALIJINYEA!

Acheni uzushi huo, tujadili mambo yaliyotufikisha hapa na namna ya kuyadhibiti kwani kuna mtu hajinyei hapa! kwa nini mnakimbilia chooni na makopo ya maji! mnaenda kunywa hayo maji? au toilet paper mnaenda kuvutia gosho?! aargh!
 
Mtu hushawishiwa ili akupigie kura na sio kuwatukana. Ugomvi wa watanzania walio wengi sio Lowasa ni ccm! Nadhani hamjatambua adui yenu mpaka sasa ni nani. Endeleeni kutukana tu mtakipata mnachokitafuta.

Hawa jamaa,wanashida KWELI. Ingekua ccm halina tatizo la kimfumo kungekua hamna tatizo. Nashangaa vijana wengi ne wanashabikia ccm ili hali waowao wamekua wakilalama juu ya uharibifu inayosababishwa na ccm. Tatizo la wana UKAWA sio magufuli,Bali ni mfumo chakavu wa ccm.chama kimelewa,jeuri,linafilisi watu wake, Lina nyonya jasho la watu, Leo hii waona watu wanamtukana LOWASA, alie na haki kikatiba kugombea urais. Naamini ccm ikingoka,mtu yeyote MWENYE sifa atakuwa na nafasi sawa kugombea na kushinda urais.
 
Nasema hivi kwa Mtanzani yeyote yule atakae piga kura CCM apelekwe India kupimwa maana huenda sehemu ya ubongo wake umeoza.
 
Back
Top Bottom