Je kwa microsoft kutoa windows 8, ataweza mfunika mac | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kwa microsoft kutoa windows 8, ataweza mfunika mac

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by elmagnifico, Aug 20, 2011.

 1. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  Ni kama week 3 au zaidi tangu kutangazwa rasmi kutolewa kwa windows 8 beta version ili wataalam watumie na kuikosoa kabla ya kurekebishwa na kutolewa windows 8 yenyewe katika soko. Mimi nimeidwnload kupitia piratebay japo baada ya kuifanyia installation in ma laptop, laptop yangu ilieta shida ikanibidi nii unstall nakurudisha windows 7 lakini kusema kweli nimevutiwa sana na graphic interface yake. Icones, softness na smoothness. Desktop arangement yani kusema kweli iko so clear. Mimi si mtaalam sana wa mambo ya ki technical zaidi ila mac anasifika sana kwa grafic interface je wadau kuna uwezekano windows sasa kaamua kumfunika mac na windows 8?
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Amfunike mara ngapi tena, ana like 90% of desktop market. Hii design mpya ni kwa ajili ya touch zaidi, Windows Tablets etc.
   
 3. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  King mimi si mtaalam sana wa hizi mambo lakini as far as I know windows ni third party os, yani imetengenezwa kutumika in different comps and tablets. Lakini apple ye anatengeneza comps, simu na ipod zake zikiwa na os zake pia so ye hauzi os zake kwa makampuni may be hiyo ndo sababu windows kateka soko kwakuwa makampuni mengi yanatengeneza comps na vifaa vingine lakini os wanategemea from microsoft. Halafu king kwanini siku hizi studio za muzk, movies na hata graphics wana prefer zaidi kutumia comp za mac? Does it mean mac os is better than windows
   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  Aug 20, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Si siku hizi tu, tangia zamani, OS za Apple zipo imara sana, na graphics zake ni bora zaidi ya microsoft.... Na ndio maana ni ghali.
   
 5. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Lakini tukiachana na graphic interface ambayo kwa wengi ndo utufanya tupende os flan je vipi performance yan yale yasiyo onekana kwa ,tumiaj wa kawaida yanayo work background kama ku handle programs, nk kati ya mac na windows ipi kali? Mfano android haina task manager ukifungua application huwezi ifunga ila ukifungua application 6 ukaongeza ya saba automatically os inafungas ile application uliyofungua ya kwanza. Lakini windows mob ina task manager na hilo kwangu naona. Muhimu hapo nimeongelea sim lakini nilitaka toa mfano tu
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kuwa Apple wanatengeneza kwenye hardware yao tu, lakini hii sio sababu kuu ya Windows kutawala Mac wako overprices sana ukinunua Mac unalipia fashion kuliko kompyuta yenyewe hii bei inawaexclude wengi na hasa ofisini ambapo hakuna haja ya fashion pia ukishashika soko ni vigumu sana kungolewa, watu wameshazoea na software nyingi sana zimeandikwa kwa ajili ya Windows.

  Kuhusu Appple kutumika na "creative" industry hii ni kasumba fulani inayoendelea kutokana na enzi hizo Mac kuwa much more user friendly than Windows, pia creative types wanavutwa na jinsi design ilivyotawala kwenye Mac, sio kweli kuwa Mac zina hardware nzuri zaidi, dollar for dollar unapata hardware nzuri zaidi kwenye PC, Mac ziko overprices tu.
   
 7. HT

  HT JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tru Kang,
  mac wananiudhi na overprice. Nadhani kasi ya MS plus polishing ya Linux desktop like Gnome3 na Unity vitamlazimisha Steve Jobs kuifikiria upya sera yao.
   
 8. tpellah

  tpellah Member

  #8
  Aug 21, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mac os wako poa sana,tatizo ni price hatuwezi kuzihili ila kwa watu wenye kipato kizuri na wanajua vizuri lazima wakimbilie kwa mac os
   
 9. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #9
  Aug 21, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  If you believe in quality, Mac is the answer.
   
 10. i411

  i411 JF-Expert Member

  #10
  Aug 21, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  microsoft kwa mikaka kama mitano hivi au kumi hawawezi kuwa sawa na level ya mac katika innovation na user friendly ya kumputer. Kama uamini angalia jana tuu mjenga computer mkubwa duniani amejitoa katika kujenga kumpute ameshindwa "HP" na ile table computer yao iliyokuwa wameshaipunguza bei maradufu sasa waweza pata kwa dola 100 nadhani mwezi ujao zitakuwa kama $50 na hizo ziliundwa kwa gharama kama ya $500 angalia hiyo asara. I feel sorry kwa wale wapenzi wa hp damu damu hakuna tena computer kutoka kwa hawa jamaa siku za usoni. Huyo ni apple amewafanya wamwage manyanga tuombe Mungu microsoft wasifikie hapo.Haya microsoft kama mnavyojua wao ni watengeneza operating system "OS" changamoto wanayopata kutoka kwa mac wao wanaunda kumputer zao wenyewe na wanaweka os yao wenyewe kwahiyo quality inakuwa maradufu. windows tatizo zinauza licence kwa makampuni tofauti na quality inaenda chini inategemea na kiasi gani mnunuzi anaweza nunua. kwahiyo zile kianzio computer ambazo ni cheap mara nyingi hovyo lakini kwavile zinawawezesha watuwengi kufanyia kazi wanazoea. Ukitumia mac hutataka tena kutumia kitu kinaitwa windos os.
   
 11. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #11
  Aug 21, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  And from this context what do we mean by Quality.? Does expensive mean high quality and cheap mean low quality?. I dont belive so but I wuld like to hear and read your views

  What about things like performance,usability,maintanace, accesiblity, support, training, compatibility, etc.

  Is quality uniform to specific criterion to each and every individual or it depend on factor one or organisation put in consideration ?


  Binasfi sijawai kutumiam MAC sasa nitapenda wale walitumia wataje kwa uzoefu wao those specific qualities na hata quntities amabzo mac inazo over windows


   
 12. i411

  i411 JF-Expert Member

  #12
  Aug 21, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  No viruses kwahiyo hakuna haja ya kutumia antvirus software na kufanya komputer kuwa slow kwa sababu ya kukukinga na mavairus. mac system is more stable haicrashi kama windows. ukiwana windows hata kama komputer yako ni zaidi ya $2500 bado tu itakuwa inacrashi mara kazaa kwa wiki. Uzoefu wa hii tabia ya windows mimi nimeuchoka kutoka kwa sony na hp nilikuwa nanunua top of the range na bado zina crashi kama kacompact laptop kabei raisi kabisa. sasa hivi my mac book pro never crush on me na inawaka maramoja nikiifungua na inazima maramoja nikiifunga. hakuna komputer laptop ya windows inafanya kazi hivi kama unajua moja niambie nijaribu. uzoefu wangu wa windows nikama ina run efficient only antvirus systems hakuna kingine kinacho run smooth kama uamini jaribu kutumia mac mwenyewe utaona jinsi windows wasivyowajali wateja wao na kuboresha huduma
   
 13. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #13
  Aug 21, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Watu wanaandika virus za windows sababu windows ni OS inayotumika sana. So as MAC grows na ikapata watumiaji wengi itakuwa vurnerable na itakuwa attcked kama ilivyo windows. Vunelability ya computer system ni ports. Sio kwamba MAC haina ports . Sema classification ya porst za MAC linux na Windows ni tofauti ndio sbabu virus anayedhuru windowsanawezaasidhuru mac. lakinimuandikiaji wa virus akiamua ku ocnentrate na AMc inawezekana .So MAC is safe from virus at thememomet sababu ina low customer base sio sababu haiwezekani

  kwa uzoefu wangu wa OS tena yeyote sio windows tu. iwe ni windows Linux nadhani na hata hiyo mac. sualala ku crash sio mara zote ni tatizo la OS ni combinartion ya tatizola OS na Hardware. Sijui matumizi yako kwenye hizo computer na installed application zilikuwa zipi but nimetumia windows muda mrefu bila tatizo na ikicrush basi ni sababau nilikuwa nafanya utundu utundu wa kujaribu mammbo fulani

  Na kucrash kwa windows sio ajabu sabbau kuna a lot of stuff. Sasa utategemea MAC ikirush kwajili ya application gani. Kw enye windows hata wewe unaweza kutengeneza application wich is good for creativity and inovation . Some application zinaztengenwa na prorammer kama kinazing zinakuwa hazitumii resouces ama CPU namemory vizuri ndiomaana zina crush

  Kifupi mim inatumiaToshiba bila tatizo lakini nimesoma review nyingi high performanc laptop nzuri ya windows ni za ASUS(graphics, entertaiment etc) cheki produc zao ASUSTeK Computer Inc. - Notebooks

  But again Elewa duniani hakuna 100% security or risk free. NMAChaiajwa exposed tu but hiwezi kuwa tofauti sanana windows


  Windows bado ni among na itaenedea kuwa among among the best OS.Windws is still A quality kwa watiumiaji
  • wa nyumbani( XP., VISTAWindows7).
  • Kwa Entepriise application ( windows server 2000, Server 2003, 2008 , IIS, SQL server )
  • wanafunzi ( free stuff kama Sqlserver express, training materialna isntitution nyingi kama Acesss, Excel)
  • Technically Kwa sababu windows ilitanguliana ilienjoymonopoly mud amefu basi MAC ndo ana kazi kubwa ya kumfukuza wimdows na sio vingenevyo
  MAC ndiio wajanja kuliko Windows kama hujaelwa wanataka kuwa lock- in wateja ili wasiwe na altenative zaidi ya wao tu. Sitashangaa kusikia wanatengenza USB standards port zao amabzo ni tofauti na universal US portt tunazojua. Japo sijatumia mac ila kuna kitu imoja nikisoma ma review nadhani hawa jamawa MAC wanachukia compatibility. MAC wanatakakutengeza kisiwa chao For me compatibility ni moja ya quality features.

  Kifupi mi naona ukitumia mac sana unakuwa end user zaidi na sio technical au advanced user. Kitu amabacho hukikuruhusu kumess nacho sio kizuri. kwa mtu ambaye anataka kuelewa an kujfunza mambo yayayotendeabehindthe scene. Uki compre windows na Mac basi unaweza sema windows ni somehow open na mac ni closed system
   
 14. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #14
  Aug 21, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Tablet ya HP ilikua inatumia OS yao wenyewe WebOS, sio Windows.
   
 15. G

  Ginner JF-Expert Member

  #15
  Aug 21, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Aya wanandugu shukrani kwa knowledge zenu pana...ila wote mpo out of point...mada ni windows 8 na akuna hata alieigusia....turudini hapa kwenye windowz8..kama kuna alieitumia atuambie experience yake ikoje juu ya hiyo oS
   
 16. HT

  HT JF-Expert Member

  #16
  Aug 21, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kama hii ndiyo definition yako ya Quality then Linux kama Fedora, Mint, Ubuntu,Debian au Suse ni bora kuliko Mac kwa kuwa zina sifa zote hizo plus gharama ni 0$
   
 17. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #17
  Aug 21, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Mkuu kwenye hii thread kama kuna comment ambayo inaweza kupata kura nyingi kwa kuwa out of point ni hii yako.
   
 18. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #18
  Aug 21, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  Plus zina support base kubwa naforum kibao. Na ni scalable. (
  Scalability - Wikipedia, the free encyclopedia )
   
 19. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #19
  Aug 21, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Zipo virus za Mac, ila waandishi wa virus hawapendi kuandika virus za Mac kwasababu uwezekano wa virus kuspread ni mdogo sana kwa sababu Mac ina asilimia ndogo sana la soko, point ya virus ni kuspread hakuna maana ya kuandika virus kwa system usiyotumika.

  Antivirus inategemea unatumia ipi, Norton ni slow vibaya sana, Microsoft Security Essentials(Bure) hauwezi kunotice kabisa kuwa inarun iko light sana, so tumia hiyo.

  Mimi nina Acer ya under $1000 na haicrash hata siku moja, utakua unakosea somewhere aka "User Error".
   
 20. i411

  i411 JF-Expert Member

  #20
  Aug 22, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  nilikuwa natoa mfano too Apple wamewaondoa haw a jamaa ukumbini wa tablet kwa kukosa ubunifi sasa hizo korokoro zao wanagawa sawa na bure
   
Loading...