Nimekuwa nikifuatilia nukuu mbalimbali kwenye vitabu nk. Je kuna ukweli wowote juu ya hili, kwamba Wanawake ni vyema kuwaonyesha wanaume zenu kuwa mnawapenda sirini na sio hadharani. Yaan in public kwamba huyo ndio mwanaume wako kila mtu ajue. Hii inasemekana wanaume wengi hawapendi show off.
Kwa upande wa wanaume ni vyema kuwaonyesha wanawake kuwa tunawapenda hadharani na sio sirini, yaani in public waonyeshe watu kuwa huyu ndie mwanamke unayempenda...Wadada huwa wanapenda hiyo sanaa.
Ni mawazo yangu, vipi mwana JF, unakubaliana nami au una la kuongeza...
Kama ilivyo majani ndio msosi wa mbuzi, ila majani hayo hayo mbwa hali....vivyo hivo na mapenzi, yanayofanya kazi kwako yanaweza kuwa kero kwa mwingine and vice versa.
Kwahiyo hapo ni wewe tu na mapenzi yako na unavyoyaendesha.