PreGE2025 Je, kwa hili CCM wapo sawa?

PreGE2025 Je, kwa hili CCM wapo sawa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Username 20

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
741
Reaction score
1,513
Toka naanza kufuatilia siasa miaka ile CCM wamekuwa wanatutisha kuwa tukichagua upinzani kutatokea machafuko

Kuwa wao CCM ndo wanaoilinda amani ya nchi hii, upinzani hawawezi kuilinda aman, lkn hapa katikati kuanzia kwa Jakaya mwishoni kumekuwa na matukio kadhaa ya watu kuuliwa na kupotea mfano tukio la kuuliwa kwa Alphonce Mawazo kule Geita (mwenyekiti wa CHADEMA), kupigwa risasi kwa Lissu, mauaji ya Akwelina na mengine mengi CCM waje watuambie nani kahusika kama ni hao wapinzani basi waweke ushahidi na wawashugulikie

Kwa haraka haraka ukiangalia ni kama CCM ndo chanzo cha machafuko, kuna ajenda ipo mda huu kuwa mwenyekiti wa CHADEMA familia yake ipo nje

Wana CCM wanasema kuwa kikinuka atakimbia maana familia yake ipo nje, swali kwa wana CCM kwanza kwanini kinuke na ni nani wa kukinukisha

CCM, CHADEMA na hivyo vyama vingine wote wanataka usawa madai ya CHADEMA ni tume huru ya uchaguzi l, tume ambayo haitapendelea chama fulani kwann CCM hawataki, kwanini waendelee kulazimisha hii ya sasa hivi wakati ni kweli imeonesha mapungufu makubwa? Je ni kosa watu kudai tume huru?

So tuendelee kuamini kuwa wapinzani ndo wanataka kukinukisha ama ni hawa ambao hawataki usawa, kumbuka kuwa usawa ndo unazaa amani sasa kama hawa waliopo mda huu hawataki usawa je wanaitaka amani kwel?
 
Ccm waliweka sheria za kulinda utawala wao kuwa uonekane kuwa ndio utawala wa milele kwenye hili taifa. Kitu ambacho kinatupatia hasara kama faifa. Muasisi wa hili taifa alituingiza kwenye hili tatizo. Hili taifa mpaka sasa hakuna mtu mzalendo kutoka chama cha mapinduzi. Bali wapo kimaslahi tu. Ndio maana wao hukataa reforms ili waendeleee kuitafuna nchi yetu. Ukisikiliza na kusoma report ya CAG na yanayo fanyika kama taifa utaona kuwa tupo katika taifa la namna gani. Hakuna mbadhirifu anaeweza kuchukuliwa hatua za kisheria . Hakuna sheria zinazolinda rasilimali zetu zaidi ya viongozi kuziuza watakavyo. Hakuna uwazi na uwajibikaji. Nchi ina dalaliwa zaidi ya ng'ombe minadani. Kuna machawa wanapewa airtime kuliko watu wenye uerevu.
Taifa ambalo watu wenye fikra za kuleta maendeleo chanja wanaonekana sumu. Ifike mahali tuwe kama taifa lenye malengo na kutambua kipi kifanyike kwa maslahi ya watanzania wote na sio kwa ajili ya kakikundi fulani au chama fulani.
 
Toka naanza kufuatilia siasa miaka ile CCM wamekuwa wanatutisha kuwa tukichagua upinzani kutatokea machafuko

Kuwa wao CCM ndo wanaoilinda amani ya nchi hii, upinzani hawawezi kuilinda aman, lkn hapa katikati kuanzia kwa Jakaya mwishoni kumekuwa na matukio kadhaa ya watu kuuliwa na kupotea mfano tukio la kuuliwa kwa Alphonce Mawazo kule Geita (mwenyekiti wa CHADEMA), kupigwa risasi kwa Lissu, mauaji ya Akwelina na mengine mengi CCM waje watuambie nani kahusika kama ni hao wapinzani basi waweke ushahidi na wawashugulikie

Kwa haraka haraka ukiangalia ni kama CCM ndo chanzo cha machafuko, kuna ajenda ipo mda huu kuwa mwenyekiti wa CHADEMA familia yake ipo nje

Wana CCM wanasema kuwa kikinuka atakimbia maana familia yake ipo nje, swali kwa wana CCM kwanza kwanini kinuke na ni nani wa kukinukisha

CCM, CHADEMA na hivyo vyama vingine wote wanataka usawa madai ya CHADEMA ni tume huru ya uchaguzi l, tume ambayo haitapendelea chama fulani kwann CCM hawataki, kwanini waendelee kulazimisha hii ya sasa hivi wakati ni kweli imeonesha mapungufu makubwa? Je ni kosa watu kudai tume huru?

So tuendelee kuamini kuwa wapinzani ndo wanataka kukinukisha ama ni hawa ambao hawataki usawa, kumbuka kuwa usawa ndo unazaa amani sasa kama hawa waliopo mda huu hawataki usawa je wanaitaka amani kwel?
Vyombo vya usalama vinavyoilinda amani ya Taifa wakatii huu chini ya ccm ndo hivyohivyo ambavyo vitailinda amani wakati Taifa litakapokuwa chini ya upinzani
 
Toka naanza kufuatilia siasa miaka ile CCM wamekuwa wanatutisha kuwa tukichagua upinzani kutatokea machafuko

Kuwa wao CCM ndo wanaoilinda amani ya nchi hii, upinzani hawawezi kuilinda aman, lkn hapa katikati kuanzia kwa Jakaya mwishoni kumekuwa na matukio kadhaa ya watu kuuliwa na kupotea mfano tukio la kuuliwa kwa Alphonce Mawazo kule Geita (mwenyekiti wa CHADEMA), kupigwa risasi kwa Lissu, mauaji ya Akwelina na mengine mengi CCM waje watuambie nani kahusika kama ni hao wapinzani basi waweke ushahidi na wawashugulikie

Kwa haraka haraka ukiangalia ni kama CCM ndo chanzo cha machafuko, kuna ajenda ipo mda huu kuwa mwenyekiti wa CHADEMA familia yake ipo nje

Wana CCM wanasema kuwa kikinuka atakimbia maana familia yake ipo nje, swali kwa wana CCM kwanza kwanini kinuke na ni nani wa kukinukisha

CCM, CHADEMA na hivyo vyama vingine wote wanataka usawa madai ya CHADEMA ni tume huru ya uchaguzi l, tume ambayo haitapendelea chama fulani kwann CCM hawataki, kwanini waendelee kulazimisha hii ya sasa hivi wakati ni kweli imeonesha mapungufu makubwa? Je ni kosa watu kudai tume huru?

So tuendelee kuamini kuwa wapinzani ndo wanataka kukinukisha ama ni hawa ambao hawataki usawa, kumbuka kuwa usawa ndo unazaa amani sasa kama hawa waliopo mda huu hawataki usawa je wanaitaka amani kwel?
Gentleman,
CCM sio tu wapo sawa bali pia wapo sahihi mno katika kuhakikisha dhamana ya kulingana umoja, amani, usalama na utulivu wa waTanzania hauhatarishwi na kibaka au tapeli yeyote wa kisiasa.

Ikiwa mtauana wenyewe huko kwa fumanizi au vyeo na madaraka kwenye chaguzi za vyama vyenu vya siasa, CCM inahusukaje na fujo, furugu na kuuana kwenu?🐒
 
Back
Top Bottom