SHADOWANGEL
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 528
- 349
Katika mambo ya haraka haraka ambayo niliwaza no Serikali kutokwamisha shughuri zote za kazi katika sekta ya Madini kwa kuteua watumishi Wa Tra kukusanya kodi kwa sasa baada ya TMAA kusimamishwa na wala sio kusimamisha shughuri ambazo wanaunufaika ni watanzania pia katika maisha ya kila Siku.
Ni tumaini langu kwamba Serikali italiangalia ili swala kwa pande mbili uku wakati ambao shughuri za kawaida zinaendelea katika aya makampuni.
Pamoja tunaweza kwa kuamua kwa kufikiri sio kiongozi kutoa tu tamko kuwa shughuri zisimamishwe kwani swala ili ni kubwa na linaitaji hekima na kuwe na MTU Mmoja ambaye anatoa mwongozo na sio kila kiongozi kusema mradi amfuraishe Raisi.