Suley2019 JF-Expert Member Oct 7, 2019 1,820 4,573 Feb 21, 2024 #1 Habari Wadau, Tangu nipo Shule nimekuwa nikisikia hoja ya wadau wakisema kuwa, unapiga punyeto mara kwa mara utakumbwa na shida ya kusahau kusiko kwa kawaida. Upi ukweli wa madai haya?
Habari Wadau, Tangu nipo Shule nimekuwa nikisikia hoja ya wadau wakisema kuwa, unapiga punyeto mara kwa mara utakumbwa na shida ya kusahau kusiko kwa kawaida. Upi ukweli wa madai haya?
dronedrake JF-Expert Member Dec 25, 2013 23,261 54,993 Feb 21, 2024 #3 Suley2019 said: Upi ukweli wa madai haya? Click to expand... NI UONGO
2 of Amerikaz most wanted JF-Expert Member Jan 13, 2023 1,328 3,693 Feb 21, 2024 #4 Trust what you feel Not what you hear. Do it.