je kuna washing machine nzuri?

mhalisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,181
Reaction score
322
mara kwa mara ninapofua nguo kwa washing machine zimekuwa zinaharibika kwa kupauka rangi kidogo kidogo
mpaka unafika wakati nguo inakuwa imepoteza uhalisia wake hata kama nguo hiyo kwa instruction zake zinafaa pia kufuliwa kwa machine.
ndugu zangu, naomba kujua kama zipo washing machine nzuri amabazo haziharibu kabisa nguo?
 
Usikaushe na mashine just fulia halafu wakati WA kusuuza tumia dishi na maji na mikono.

Pia sababu unafua nguo njingi kwa mpigo hakikisha selection yako ya nguo IPO vizuri. Mfano usichanganye nguo nyeupe na zenye rangi, au fulana na jeans

Pia kama maji ni ya chumvi au yenye madini mengi tegemea nguo za kuchuja zichakae upesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…