Je? Kuna uwezekano wa kushika mimba?

sam green

Senior Member
Feb 21, 2020
176
256
Naomba kuuliza ndugu zangu kuna jambo hapa silielewagi kabisa..
"Hivi kama unafanya mapenzi na mwanamke kwa style ya kusimama halafu ukammwagia (mbegu za kiume) huku akiwa amesimama muda huo huo akaenda haja ndogo... Kujisaidia. Je? Kuna uwezekano wa kushika mimba?
 
Njia ya mkojo na njia ya kuingiza jegejo(zinapomwagwa shahawa) ni njia mbili tofauti.

Ule mwago mmoja una kama mbegu milioni hivi(sijui na zaidi) na inahitajika mbegu moja tu kurutubisha yai.

Hadi hapo uwezekano wa kupata mimba ni mkubwa zaidi.Lakini kama alivyosema mdau hapo juu majibu ni ndio,hapana na inategemea.
 
Kuna mwanamke alijifutia taulo ya babayake na alipata ujauzito wakati yuko bikra
 
Back
Top Bottom