hilo jambo haliwezani ni aina za habari za vijiweni uzushiKuna mwanamke alijifutia taulo ya babayake na alipata ujauzito wakati yuko bikra
Mkuu upo kwenye kijiwe Cha kahawa ?Kuna mwanamke alijifutia taulo ya babayake na alipata ujauzito wakati yuko bikra
Kweli ishawahi kutokea ilikua aibu kubwa sio uongo, nikipata mda nitakuandikia ilivyotokeahilo jambo haliwezani ni aina za habari za vijiweni uzushi
sio kweli
Apana, ni true story nikipata time nitaandika hapa ilivyotokeaMkuu upo kwenye kijiwe Cha kahawa ?