processor unai upgrade kwa kuitoa na kuipachika nyengine.
processor nyingi za amd ni apu maybe walimaanisha ulitakiwa uweke driver za hio apu.
pia app za namna hio pia ni za kishenzi tu usiziamini wala usizikubalie kudownload vitu kama unataka software ya AMD nenda website ya AMD na si vinginevyo.
nenda my computer halafu right click then properties then kariri hilo jina la cpu yako halafu lipaste google huku likifuatiwa na neno drivers kwa mbele
mfano amd e-350 drivers
utapata drivers mpya kama zipo.