Je, Kuna uwezekano wa Kesi ya Mbowe kuoneshwa Mubashara kwenye runinga?


Haipo siri ndani ya nchi kuwa baada ya siku 100 za mwanzo alibadilika:

Baada ya siku 100: Tunapoachana kwenye Mataa na Rais Samia

Ndani ya siku 100 sifa alivuna ndani na nje ya nchi.

Alipo sasa anataka kuendelea kuvuna za nje akiita rebranding akiamini ndani hakuhitaji tena.

Tuweke rekodi sahihi kwa kuzipima kauli zake kwa vitendo mbele ya macho ya dunia. Hata dhahabu hupimwa kwa moto.

Kwa kauli yake: "umesikia kuna vyombo vya habari vinalalamika kuhusu uhuru?"


Ijumaa tuko live kutokea Kisutu.
 
Je, Sheria za Tanzania hasa za Vyombo vya Habari zinaruhusu Court Proceedings kuwa Televised live na Local Media zetu achilia mbali zile za Kimataifa?
 
Hakuna mwanadamu mtukufu acha kumdharau Mwenyezi Mungu
 
Hakuna mwanadamu mtukufu acha kumdharau Mwenyezi Mungu

Hiyo ni lugha rasmi na hasa akiwa kajinasibu mwenyewe kutendea waja wa mola haki akiwamo Mh. Mbowe.

Kama ilivyokuwa kwa jiwe neno hilo limetumika hapa si kwa ajali.
 
Je, Sheria za Tanzania hasa za Vyombo vya Habari zinaruhusu Court Proceedings kuwa Televised live na Local Media zetu achilia mbali zile za Kimataifa?

Kesi zenye kuwa na tashwishi za dhuluma hasa kutokea kwenye watu tuliowapa dhamana kama hivi ni halali ki sheria kwa wadau wote kuhusishwa.

Huo ndiyo ulio msingi wa kesi zote zenye maslahi na wengi. Mfano:

1. Oscar Pistorius
2. O.J. Simpson
3. George Floyd

Na za namna hiyo.
 
Unaonaje ukienda Kuishi kwenye moja ya nchi za hawa Watajwa hapa na ukatuachia tu Tanzania yetu Ndugu?
 
Tanzania hii hii ya CCM nayoijua mimi? labla yehova awe karudi aisee.
 
Unaonaje ukienda Kuishi kwenye moja ya nchi za hawa Watajwa hapa na ukatuachia tu Tanzania yetu Ndugu?

Unaonaje wewe ukienda hata Burundi tu ukatuachia nchi yetu?



Mema haya tumekuwa tukiyapigania siku zote yawepo hapa, sisi na waasisi wetu.

Mola atupe nini Mtukufu Rais naye ndiye huyo kwa maneno karuhusu uhuru kamili wa vyombo vya habari. Wewe wakereka? Kwani una nini cha kuficha ambacho SSH hana?!

Tutakuwa live Kisutu ijumaa.
 
Upinzani kuongoza Tanzania mwiko.

Kwani hayo uliyoyaandika unayasoma wapi kwenye hii mada?



Mada ni uhuru wa vyombo vya habari.

Gazeti la uhuru (leo) hapo juu ni kwa uthibitisho zaidi.

Hutaki, mpaka na Burundi uko wazi.
 
Mambo mengine yanachekesha hadi yanatia kinyaa. Promotion inapendeza ktk biashara. Kwingine ni vichekesho... au nasema uongo ndg zng?

Promotion ipi? Funguka zaidi kuweza kufahamu nini ili ndugu zako waweze kujua ni ule au uongo.
 
Unapojitokeza kwenye vyombo vya habari kuwasilisha jambo unaloamini lina impact kwa walengwa, unakuwa na lengo flani, kwa mfano watu waone na kuamini kuwa mnayoyafanya hayana makosa. Yaani wewe uko sawa au mambo yenu yako sawa siku zote . Hiyo ndo promotion
 

Nikutoe ukakasi kwenye mabandiko yako:

1. Mtukufu Rais kasema vyombo vya habari viko huru.
2. Kauliza, umesikia kuna chombo cha habari kimelalamikia uhuru?

Msingi wa mada Mungu atupe nini sisi?

Ijumaa tutakuwa live kutokea Kisutu.

Pana taabu hapo?
 
Sisi tuna deni na farasi mwenyewe. Kasema vyombo vya habari vina uhuru kamili.

Ijumaa tutakuwa "live" kutokea Kisutu.

Habari ndiyo hiyo.
Vipi huyo farasi alisimama wima au alipiga mateke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…