We jamaa unauwezo Wa kuchambua mambo sanaLakini pia watu hawataki kuamini kuwa hata rafiki anachunguzwa.
Hakuna nabii ambae hakuwa na rafiki ambae alisuhubiana nae katika mambo yake.urafiki ni kitu kikubwa.
Angalia huyo unayetaka kumfanya rafiki je akiwa na wewe hawasemi vibaya watu wengine mbelr yako ?
Kama anawasema basi jiulize " je akiwa na wengine hatanisema mimi vibaya ?"
Akiwa hawasemi vibaya wengine akiwa na wewe basi ana sifa miongoni mwa sifa za kuwa rafiki.
Kwa sababu sio urafiki ule ambao wakikaa huwasema wengine na kuwabeza,bali urafiki ni kukaa wawili mkawa mnajadili mambo yenu wenyewe na kutafuta ufumbuzi.
Kwa sababu kwenye maisha kuna malengo na changamoto.
Kama hamjadili namna ya kutatua changamoto basi mtajadili namna ya kuyafikia malengo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umefafanua murua, m ukiishi hivyo kibongo bongo utasikia jamaa anaishi kizungu[emoji38]
Hii ni nzuri , na mimi nishaishi hivyo sana, ila ukija kupata shida ama changamoto kwenye maisha itakuathiri sana ,sababu saa nyingine kuna vitu huwezi kutatua wewe mwenyewe utahitaji hata ni msaada tu wa mawazo wa mtu mwingine , jifunze ku socialize hata kidogo ,hata kama usiwe na marafiki uwe unawatu unapiga nao tu stori kawaida, itakusaidia sana.Mnawezaje kutafuta na kupata marafiki.? Mimi siwezi na ukitaka kua na urafiki nami nitakukupwa tu maana napenda maisha ya upweke pweke.
Sio kusongamana au kufuatiliana kama kumbikumbi. Ndio maana sijui kama nitaoa masna napenda nifanye vitu bila kumshirikisha mtu.
Kuna watu mnaweza kushibana sana ukajua ni marafiki zako kumbe dah sio kabisa.
Mimi nilikua na jamaa tulikua washkaji sana chuo mpaka home tukawa tunatembeleana tukiwa likizo wazazi wake wakawa wananiita mtoto wao basi jamaa alikuja kunikera siku alipomtongoza X wangu.
Ishu kwangu haikuwa yeye kumtongoza bali maneno aliyomwambia yani kaniponda kwamba mshahara wangu sina ninachofanya zaidi ya wanawake hamna sketi inapita mbele yangu nikaiacha sina maendeleo yoyote na vingine vingi sana.
Sasa yule demu pamoja ni x wangu ila tumeshibana sana coz kabda ya kuwa wapenzi tulikua washkaji for 2 years tukaangukia kwenye mapenzi tukashindwana tukarudi kuwa mabest so yale maneno yakamuuma akanipigia simu like bro shida nini umekua mwanaume wa ajabu?? Kuna mwanamke amekuumiza kiasi cha kuwa malaya coz nakujua sio tabia zako mi nashangaa tu naambiwa habari zangu ambazo mi mwenyewe sizijui ndo akanichana aliemwambia mpaka voice notes dah sikuamini.
Akaniambia kuwa makini na huyo rafiki yako nikasema kumbe ndo dunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo sio rafiki halafu inakuaje mwanaume unakuwa mmbeya hivi hii ni kutokana na makuzi au?Kuna watu mnaweza kushibana sana ukajua ni marafiki zako kumbe dah sio kabisa.
Mimi nilikua na jamaa tulikua washkaji sana chuo mpaka home tukawa tunatembeleana tukiwa likizo wazazi wake wakawa wananiita mtoto wao basi jamaa alikuja kunikera siku alipomtongoza X wangu.
Ishu kwangu haikuwa yeye kumtongoza bali maneno aliyomwambia yani kaniponda kwamba mshahara wangu sina ninachofanya zaidi ya wanawake hamna sketi inapita mbele yangu nikaiacha sina maendeleo yoyote na vingine vingi sana.
Sasa yule demu pamoja ni x wangu ila tumeshibana sana coz kabda ya kuwa wapenzi tulikua washkaji for 2 years tukaangukia kwenye mapenzi tukashindwana tukarudi kuwa mabest so yale maneno yakamuuma akanipigia simu like bro shida nini umekua mwanaume wa ajabu?? Kuna mwanamke amekuumiza kiasi cha kuwa malaya coz nakujua sio tabia zako mi nashangaa tu naambiwa habari zangu ambazo mi mwenyewe sizijui ndo akanichana aliemwambia mpaka voice notes dah sikuamini.
Akaniambia kuwa makini na huyo rafiki yako nikasema kumbe ndo dunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aise nimecheka ulivyomaliziaHakunaga rafiki wa kweli..wengi wao wamejaa unafki Unaweza kuwa mwema kwake ila yeye akakuchukulia Kama zuzu tu.. ndiyo maana nimeamua rafiki yangu Bora awe nyonga mkalia ini lakini hao wengine nei bolo.
Nafurahi umecheka kipenzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aise nimecheka ulivyomalizia
Nilionae ni ambae nimekua nae tangu utotoni ila hawa wa kazini sijui shule hapana asee sitaki tena.Kwahiyo mkuu saivi una best friend mwingine au ndo ushaacha hizo mambo[emoji40]?
[emoji7][emoji7] [emoji4][emoji4]Nafurahi umecheka kipenzi
Hata sielewi ni makuzi au nini unamponda rafiki yako kiasi hicho halafu bora vingekua vya kweli hamna hata moja la ukweli.Huyo sio rafiki halafu inakuaje mwanaume unakuwa mmbeya hivi hii ni kutokana na makuzi au?
Sent using Jamii Forums mobile app