AnthonyGasper
Senior Member
- May 11, 2019
- 178
- 165
habari ndugu zangu, kama kichwa kinavyosomeka tafadhari kwa yeyote mwenye uelewa juu ya hili. Mwaka 2017 nilichaguliwa course Fulani pale Mzumbe university but unfortunately nlipata matatizo yaliyopelekea nikashindwa kufanya baadhi ya mitihani ya II semester, japokuwa nilipeleka taarifa ya kile kilichonikwamisha lakini wakaniambia nimechelewa hivyo baada ya results nikawa nje ya System. A discontinued student lakini sasa nataka kuriapply tena, je ni lazima niipeleke barua TCU ilee physically or naweza kutuma hata kwa EMS pale posta. Nipo Dodoma ndo home.
Asante.
Asante.