Vijana, acheni kuchezea sharubu za simba dume aliyelala kwa kudhania kafa!
Waweza kumezwa mazima. Na wakati unamalizikia kumezwa, ndo utazidi kulalamika kuomba msaada wa huruma ya waokozi, ili waje kukusaidia. Lakini utakuwa umechelewa, hakuna wa kukuokoa tena, kila mmoja na 50zake kwa kuwa jambo hilo halimhusu. Ni la kwako utalimaliza mwenyewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.