Hao hawatakuwa walimu makanjanja? Vi vyema wakatumia vyeti vya F4 wakasome kozi zingine kwa sababu katika ngazi hiyo walifaulu vizuri. Ualimu kwanza haulipi tena haulipi na serikali inafahamu lakini huenda ndivyo inavyopenda usilipe. Namshauri yeyote aliyekwama F6 atumie cheti cha F4 klitamkwamua, ila asome kozi makini. Ukiona vyaelea vimeundwa.