Je,kuna ukweli wowote?

Mkuu vipi hauna mdogo wako nioe?? Maana atakuwa kama ww
Siyakukothamela Sonini na nini
 
Nimekukumbuka ile comment yako wakati unaenda kutambulisha si ilikua chang'ombe kuleee?? Hakika mlipatana yani relation yenu ni made in heaven God bless you moreee.. Hakuna binti mwingine aliyebaki kwenu labda??


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyez Mungu aendelee kuwalinda na kuwabariki

Akufungulie milango ya kazi
Abariki kazi za mikono ya mumeo
Abariki kizazi chenu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…