Je,kuna ukweli wowote?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,116
Reaction score
64,149
Inasemekana ni wachache sana waliofanikisha kufunga ndoa na wapenzi wao, waliokutana masomoni wakiwa darasa moja.Je,kuna ukweli wowote?
 
Hapana, alafu mimi nilikuwa mstaarabu sio mtu wa show off. Na baba A nae pia hakuwa mtu wa sifa sifa, lakini miaka yote mitatu ya chuo hakutongiza mwanamke mwingine ni mimi tu. Nami pia sikuwa na skendo za gizagiza... kabla ya kuwa wapenzi alikuwa rafiki yangu tulisaidiana masomo na hata mambo ya kiuchumi kwa kiasi...!!

Mpaka leo hii tukikumbuka mazuri na magumumu tuliyoshiriki pamoja tunafurahi na kupata faraja...
Kulikuwa na changamoto zozote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu alikua mwema kwako dada
Shukuru Mungu ulipata mwema...

hata Sasa Kuna product hizo zipo na watu wamefunga ndoa kabisa Tena hapahapa chuo ila,katika watu 1000 Ni relationship 10 zenye uhai
Hizi nyingne Sasa Ni vituko...full kudanganyana,,show off za kutosha kwa wote wawili...yaani ni Kama movie za kuigiza.. hahahaah UDOM inachekesha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saint anne unachoongea ni sahihi... yani mume wangu nampa upendo na heshima, naye vile vile ananipa hivyo.. sijabahatika kupata kazi yeye ndiye family provider wa kila kitu ni miaka mitano sasa anajua ninachovaa na tunachokula Tuna watoto watatu..Mungu ni mwema ametukaza kwa neema yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
mdada!!!

Mbona unateseka!!!

Mkaka mwenye future nikohapa[emoji137][emoji137]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke wangu tulikuwa pamoja advanced level of Secondary education. Tulipomaliza mungu akajaalia sote tukapangwa mwanza. Yeye bugando mimi saut, Leo ni mke wangu tuna mtoto mmoja na wa pili yupo njiani.

Nawajua washkaji kibao nliokuwa nao SAUT pale wakaoa bado tupo chuo na mpaka sasa maisha yanaendelea. Sasa nyie endeleeni tu kusema mapenzi na masomo hayachanganyiki
 
Ni kweli...

Wanawake wengi wana maisha ya akilini mwao wamalizapo chuo ni vigumu saana kufanya nao maisha.

Ukweli ni kwamba vijana wengi tukimaliza chuo lazima tukae jobless kwa muda fulani. ni wanawake 0.003 wanaovumilia misukosuko ya mwanaume Jobless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…