Je kuna ukweli wowote hapa?

Je kuna ukweli wowote hapa?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,430
576935_10151023094587327_19185108_n.jpg
 
Ni kweli, ila hatuiti uongo ni "mantiki ya maisha" au "negative facts". ila uongo uufanye kulingana na umri na uelewa wa mwanamke.
Uongo ufanane kiasi na ukweli ili baadaye usiumbuke.
 

Hakuna ukweli wowote!

huyo 'dem' unapomdanganya anakuwa hayupo aware kuwa unamdanganya!
Ni kama 'mabro' nao wanavyopenda kusifiwa inabidi utunge uongo ili uweze kumboost confidence yake; mfano halisi ni fake orgasms. Anafurahia ukimwambia unampagawisha, akiamini ndio ukweli huo.
 
Uongo aliumbiwa binadamu hivyo linapokuja suala kumtaka mwanamke inawezekana ukatumia uongo ili mradi tu usiwe wa kumuumiza hapo baadae na mwisho wake mwanaume kuumbuka.
Ukitafuta maana ya neno KUTONGOZA unaweza kupata maana zaidi.
 
Hakuna ukweli wowote!

huyo 'dem' unapomdanganya anakuwa hayupo aware kuwa unamdanganya!
Ni kama 'mabro' nao wanavyopenda kusifiwa inabidi utunge uongo ili uweze kumboost confidence yake; mfano halisi ni fake orgasms. Anafurahia ukimwambia unampagawisha, akiamini ndio ukweli huo.

Hahahahaa penye ukweli uongo hujitenga duh.........................!:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
ukweli upo, mademu wanapenda sana story za uongo.. ukiwadanganya unapiga sana bilaya wasiwasi
 
Ni kweli,wanawake wengi mara nyingi wanaamini uongo kuliko ukweli,na ukitaka kulithibitisha hilo,wewe nenda kamtafute mwanamke yeyote yule leo umwambie unamataka lakini umweleze kwamba huna hela isipokuwa utampa kidogo ya usumbufu kama ten hivi uone kama utakubaliwa,lakini mtafute halafu mwambie utampatia kilo kama watoto wa mjini wanavyoita uone,utakubaliwa cahpchap mpaka mwenyewe utashangaa.
 
Je "kutongoza" ni nn? Nadhani unapomwambia unampenda huishii hapo tu. Kwa wale weny profiles nzuri utajitaid kuzitaja, na wasio na cv je????hcho ndo chanzo cha uwongo.. Ila kwa upande wangu me ni mhanga wa hayo mambo.. Mara nyng naongea ukweli n strait 4wad. Inanicostigi sana xo siri. Thats why nampenda sana dem asiyezungusha as if unaomba kazi!!!!
 
sidhan kama unaweza pata utamu bila kudanganya!!! baadae akija gundua ndo anakuuliza mbona ulinidanganya!!!
 
Back
Top Bottom