Je kuna ukweli wowote hapa?

Kwani Mwizi / Kibaka huwa anajitaja?
Mkuu usinilazimishe kukubaliana na wewe au tu kuandika kitakachokupendeza wewe,hii mada umeileta kila mtu achangie kwa uhuru wake,kama utalazimisha watu wakubali tu kua walianzia na hao mabeki 3 basi hakukua na haja ya kuanzisha hii thd ikiwa umeshakuja na majibu ya watu utakao wauliza.
 
' Povu ' lote hili la OMO la nini sasa Mkuu? Umevurugwa nini leo huko uliko hivyo unataka kuniangushia Jumba bovu Mimi?
 
Kwamba 99.9% ya Wanaume waliozaliwa kati ya mwaka 1970 hadi 1985 (waliolelewa na mabeki tatu) wamejifunza kufanya Ngono kupitia kwa Mabeki Tatu au Wadada wa Kazi?
 
' Povu ' lote hili la OMO la nini sasa Mkuu? Umevurugwa nini leo huko uliko hivyo unataka kuniangushia Jumba bovu Mimi?
hakuna povu hapo bali nimekutahadharisha tu kuwaacha wachangiaji wachangie kwa uhuru nawe uheshimu michango yao na si kuwalazimisha kua walianza na mabeki 3 ila wanaficha,sisi wakongwe "enzi hizo" hao mabeki 3 walikua nadra sana.
 
Mkuu naona leo kama vile umeamka na Mimi! Anyways ngoja nikuache kwani najijua mwenyewe Kiwango changu cha ' Uvumilivu ' kikiwa kinafikia ' Ukomo ' wake.
 
Msema kweli ni mpenzi wa mungu,FULL BEKI ana ladha yake jamani,!!!!![emoji849]

Ukizingatia chochote cha wizi au cha kificho na cha fasta huwa ni kitamu saana,hata pale ukiwa nyumbani nyakati za mchana ukapita jikoni,mara mpishi kajipindua tu,ukadokoa mboga[emoji3]na kuibugia fasta mdomoni,japo ni yamoto lakini ina utamu wake
Sasa acheni fullbeki aitwe fullbeki....Wakuu[emoji1317]
 
Kusema na ule ukweli mi nilianzia kugegeda mke wa mtu walikuwaga wamepanga nyumbani mume wake alikuwa mfanyabiashara ya kuuza ng'ombe minadani na tena mwanamke alikuwa kanizidi kama miaka 7 hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…