GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,448
- 127,621
Hili linaweza kuthibitishwa kwa tafiti rasmi,hapa kila mtu ata comment kivyake tu na atakavyopenda yeye.
Mbona hawaji jamani kuna watu kama 7 hivi nasubiri kuwaona au sijui watapita mbiooooooooooo lol, nakumbuka Dada wetu wa kazi alikua anapendwa mpaka akienda kwao Kaka zangu walikua wanasema nyumba bila Dada khadijah imepwaya
mpaka wameoa wao hawataki aondoke,sasaivi amekua mtu mzima ila wanakwenda kumuona na wake zao wanasema huyu ametufunza mambo mengi sanaaaaaaaaaaaaa ila haya semwi ni yepi.
Hayo mambo ya wadada wa kazi yameanza miaka y vizazi vyenu.Wakongwe wa miaka hiyo hatukupata bahati ya kuhudumiwa na mabeki tatu.
Lkn Hawa bek 3 na watoto wa get kali n watamu jmn nyie achen tu
Wamejifunza kwenye michezo ya kibabababa...na kombolela...
Yes yes tuko hapa kuwapa ushuhudaNaona mliozaliwa mwaka 1970 hadi 1985 na mlioanzia ' Kupasha ' kwa Wadada wa Kazi mnaanza sasa Kujitokeza / Kujitanabaisha. Safi sana!
Sawa...ila sio kila familia inaweza kuwa na mdada wa kazi...nami nakataa!Siyo kweli na nitakukatalia hadi Kiama!
naona labd weng ni wa 90' ndo wamewachangamkia sana hao bek 3 kwakwel
Sawa...ila sio kila familia inaweza kuwa na mdada wa kazi...nami nakataa!
sikuanzia huko.Wewe binafsi hukuanzia ' Kupasha ' Kwao? Tuanzie hapa Kwanza.