je kuna ukweli kuhusu utajiri huu

je kuna ukweli kuhusu utajiri huu

wijma

Member
Joined
Jun 27, 2013
Posts
86
Reaction score
2
naombeni kujuzwa kuhusu waganga wanaotoa utajiri wa kishirikina.je kuna ukweli wowote kuhusu hili na kama ni kweli je kila mtu akienda kuzichukua hizo nani atakuwa masikini?
 
huo utajiri upo ila ni wa kishetani utaambiwa uwaue wazazi wako ma ndugu zako. wakiisha utaambiwa uwaue rafik zako.
na unapewa masharti kibao mfano ujisaidie vichakani
ulale chini kwa sakafu etc ukikosea masharti unakufa au unakuwa masikin sana
utaona tu maduka yako yanaungua. magari yanapinduka. madeni yanazidi etc.

hivo kama unataka utajiri wa haki piga kazi kwa moyo wote na uwe mbunifu.

achana na utajiri wa waganga utakufa mapema sana tena utakufa ukiwa masikini
 
Kama unabisha watembelee...unawezakuwa maskini na ukawa na amani na furaha kuliko tajiri wa hela za manyokanyoka
 
huo utajiri upo ila ni wa kishetani utaambiwa uwaue wazazi wako ma ndugu zako. wakiisha utaambiwa uwaue rafik zako.
na unapewa masharti kibao mfano ujisaidie vichakani
ulale chini kwa sakafu etc ukikosea masharti unakufa au unakuwa masikin sana
utaona tu maduka yako yanaungua. magari yanapinduka. madeni yanazidi etc.

hivo kama unataka utajiri wa haki piga kazi kwa moyo wote na uwe mbunifu.

achana na utajiri wa waganga utakufa mapema sana tena utakufa ukiwa masikini

asante kwa ushauri
 
Wanatoa dawa za utajili wakati wao wanaishi kwenye umaskini.Hata kama mganga hajitibu,si akachukue utajili kwa mganga mwingine?
 
naombeni kujuzwa kuhusu waganga wanaotoa utajiri wa kishirikina.je kuna ukweli wowote kuhusu hili na kama ni kweli je kila mtu akienda kuzichukua hizo nani atakuwa masikini?

Haya mambo yapo na kweli watu wanatoka tena bila kafara kama unataka kuamini nipm ukashuhudie mwenyewe
 
Ukiutaka utajiri huu ambao hauna masharti magumu kama vile kuuwa wazazi au ndugu zako kama wafanyavyo, wakinga nenda ngende, huko utapewa utajiri usiokuwa na masharti magumu ila inategemea na uwezo wako wa kuyatekeleza hayo masharti.
 
dogo unapenda maisha ya kitajiri nenda kambake mama yako utakuwa tajiri bila masharti
 
hilo sharti la kujisaidia kichakani napiga picha upo posta mpya halafu tumbo linachafuka!
 
we ndiyo umewaza mbali zaidi!hapo nafanya kama akili zimechanganyika kidogo
 
utajiri huu unamashart ndugu..unaweza ukawapoteza unaowapenda..au mali zako usizitumie ipasavyo mfano mzuri kuna mzee ana magari kibao majumba usiseme ila aruhusiw kupanda gari zake eiza atembee kwa mguu au daladala...mda wote anavaa vipensi... halal kitandani...analala chini ,,angalia utakutana mashart magumu had utajuta...
NOTE
[h=1]Stop Wishing. Start Doing.[/h]
[h=1]Your best revenge is, your own success.[/h]
[h=1]No one is perfect, but some of us are closer than others.[/h]
[h=1]Life is simple, it's just not easy.[/h]
 
Ukiutaka utajiri huu ambao hauna masharti magumu kama vile kuuwa wazazi au ndugu zako kama wafanyavyo, wakinga nenda ngende, huko utapewa utajiri usiokuwa na masharti magumu ila inategemea na uwezo wako wa kuyatekeleza hayo masharti.

ngende ipo wapi na nani anafanya kazi hiyo
 
utajiri huu unamashart ndugu..unaweza ukawapoteza unaowapenda..au mali zako usizitumie ipasavyo mfano mzuri kuna mzee ana magari kibao majumba usiseme ila aruhusiw kupanda gari zake eiza atembee kwa mguu au daladala...mda wote anavaa vipensi... halal kitandani...analala chini ,,angalia utakutana mashart magumu had utajuta...
NOTE
[h=1]Stop Wishing. Start Doing.[/h]
[h=1]Your best revenge is, your own success.[/h]
[h=1]No one is perfect, but some of us are closer than others.[/h]
[h=1]Life is simple, it's just not easy.[/h]

raha ya pesa kuzitumia sasa hapo kwenye kutopanda gari langu tena hapana
 
Back
Top Bottom