sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,168
Mbona Yesu ni sabato! Alisali siku ya sabato. Kama Yesu alisali siku ya sabato kwanini Wasabato wasiwe Wakristo? (yaani wafuasi wa Yesu Kristo)Wasabato siyo Wakristo
Wana wa israel hawakumkubali Yesu kuwa ni mwana wa Mungu ndio maana mpaka leo wana dini yao ya judaism. Lakini Wasabato kama walivyo Wakristo wote duniani wanamwamini na kutenda maagizo yote ya Yesu Kristo. Tatizo lenu linalowasumbua sana kuhusu Wasabato ni siku ya kuabudu. Fuatilia ilikuwaje mpaka Jumapili (sun day) ikawa siku maalumu ya kuabudu badala ya siku ya sabato ambayo hata Yesu mwenyewe alisali akiwa hapa duniani utapata ukweli unaweza hata kugoogle utapata sources mbalimbali za mambo haya.Kanisa la wasabato ni miongoni mwa makanisa yaliyopotea, waliisha achwa na Mungu kama walivyoachwa wana wa Israeli kwa sababu ya kuukataa ukweli wanaopewa na Mungu. wamebaki kutishana kwa dalili za uongo.
Wasabato ni cult za kikristo zilizofanikiwa sanaMbona Yesu ni sabato! Alisali siku ya sabato. Kama Yesu alisali siku ya sabato kwanini Wasabato wasiwe Wakristo? (yaani wafuasi wa Yesu Kristo)
Kwanini makanisa mengi makao yake makuu ni marekani na so imani ilokoanzia MF Ulaya ama Asia?Wana wa israel hawakumkubali Yesu kuwa ni mwana wa Mungu ndio maana mpaka leo wana dini yao ya judaism. Lakini Wasabato kama walivyo Wakristo wote duniani wanamwamini na kutenda maagizo yote ya Yesu Kristo. Tatizo lenu linalowasumbua sana kuhusu Wasabato ni siku ya kuabudu. Fuatilia ilikuwaje mpaka Jumapili (sun day) ikawa siku maalumu ya kuabudu badala ya siku ya sabato ambayo hata Yesu mwenyewe alisali akiwa hapa duniani utapata ukweli unaweza hata kugoogle utapata sources mbalimbali za mambo haya.
Siwatishi Mimi,Bali kama unaamini,ni unabii wa wasabato na una nguvu sana kwao.Huruma ya Mungu ni ya milele. Usiwatishe watu, milango ya huruma ya Mungu/kutubu iko wazi mpaka Kristo atakaporudi.
Prophesy ipi?Wasabato wanayo,walokole pia ni tofauti na wasabato,wakatoliki pia,na dini nyingine!We unazungumzia ipi?Ukiwa mbumbumbu wa Prophecy utapelekwa hovyo kama linģombe
Wakati unaposema kushika sabato,kitabu cha waebrania anasema Mungu ameweka Siku nyingine tena,nayo ni LEO.Tumepewa Siku moja tu,nayo ni leo.Yesu anasema usijisumbue na kesho.Utakatifu wako ni Leo,na siyo Siku ya sabato.Maana ukimwamini Yesu,unapumzika,Yesu ndiye pumziko la ukweli.Kukusanyika kama desturi ni muhimu,ila Leo ndiyo siku yetuMi naona hapa jambo la msingi katika hzi abrahamic religions ni kutenda yaliyo mema mbele za mnyazi MUNGU. Ila usisahau kuishika Sabato ya bwana maana ni amri kama zilivyo amri nyingine za bwana MUNGU!
wasabato siyo wakristo na hawajawahi kuwa wakristo.. wao ni kufuata mafundisho ya ufunuo wa H.G.WHITE, na kuponda ukatoliki.Kwani Wasabato siyo Wakristo au unadhani Ukristo ni kwenda kanisani Jumapili? Ukristo ni kuamini na kufuata imani ya Yesu Kristo. Na hata kama Ukristo ni siku ya kuabudu Yesu basi Wasabato ndiyo Wakristo halali kabisa kwani hata Yesu tunayemwamini alikuwa akisali siku ya sabato ambayo kwa sasa ndio tunaiita Jumamosi. Lakini kubwa na la muhimu Ukristo ni kuamini katika Yesu Kristo na kufuata mafundisho yake pamoja na ya mitume na manabii wa MUNGU Mwenyezi.
Du wabongo bana jamaa kaoneshwa hadi picha original bado kakomaaa[emoji23]Katika executive orders alizosaini trump hiyo hakuna tuache ujinga
Je mitume wa YESU KRISTO ambao ndio walioweza Injili ya Yesu walikuwa waroman catholic? Haya madhehebu ni identity ya kujitambulisha tu na yamekuja baada ya mitume wote wa Yesu kufariki.wasabato siyo wakristo na hawajawahi kuwa wakristo.. wao ni kufuata mafundisho ya ufunuo wa H.G.WHITE, na kuponda ukatoliki.
Mi naona hapa jambo la msingi katika hzi abrahamic religions ni kutenda yaliyo mema mbele za mnyazi MUNGU. Ila usisahau kuishika Sabato ya bwana maana ni amri kama zilivyo amri nyingine za bwana MUNGU!