Je,kuna ufundi zaidi?


Ukihisi punje punje za wali usiulize midadi isije ishia ghafla...hachelewi kukwambia masalio ya matapishi :bathbaby:
 
hahahaha lol! umesahau kuongezea kwamba ulimi wako huusokomeza pia kwenye tundu za pua, msisitizo tundu za pua zilizo safi na kuvinjari pia maeneo ya shingo kwa raha zako.

Mi denda langu ni extreme, ninaanzia kidevuni hadi puani, na nikiingiza ulimi kinywani nausokomeza hadi ufike kwenye koromeo ndio naona rahaaaaaaaaaa
 
Tafuta kibogoyo nasikia hao ndio wanajua kufunza vizuri
 
Huu ni uhuni sasa
Kila mtu na starehe yake
[video]https://www.google.co.tz/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&sourc e=web&cd=1&cad=rja&sqi=2&ved=0 CC0QtwIwAA&url=http%3A%2F%2Fww w.youtube.com%2Fwatch%3Fv%3DHn UlsK8nDXQ&ei=osN_UdbIMMKYtAb32 YCYAw&usg=AFQjCNGPFbXotVnuKAtW hrdSlazkpDHMbg[/video]
 
Aiseeee!! Mandingo mpaka kagonga Hodi. We mkareeee. Hongera sana
Ila kuongeza points tu hapo nadhani Oral Hygiene(Usafi wa kinywa) ni muhimu sana na unasaidia kuamsha hisia pande zote mbili. Maana kuna baadhi ya vinywa utafikiri uko Dampo Tabata.
 
Kisukuma kinajitosheleza maneno yote.
Vimiminika unakujwa = (Kung`wa)
vitu kama uji = (Kubhuta)
Vitu kam pipi = (kubipa)
Vitu kama titi = (Kongh`a)

Sasa mtu anasema uji unaliwa hapa ananichanganya.
Annael naomba unambie we msukuma?
 
Aiseeee!! Mandingo mpaka kagonga Hodi. We mkareeee. Hongera sana
Ila kuongeza points tu hapo nadhani Oral Hygiene(Usafi wa kinywa) ni muhimu sana na unasaidia kuamsha hisia pande zote mbili. Maana kuna baadhi ya vinywa utafikiri uko Dampo Tabata.
Dampo Tabata hahahaha
 
Mi denda langu ni extreme, ninaanzia kidevuni hadi puani, na nikiingiza ulimi kinywani nausokomeza hadi ufike kwenye koromeo ndio naona rahaaaaaaaaaa
We nooma
Kama nakuona vile..!!
 
Waaooh..!
Sounds romantic & sexy
 
mi wangu hajui kwa hiyo namla vyovyote na ananiona sperster!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…