Je,kuna ufundi zaidi?

Madewa

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
467
Reaction score
192
Habari zenu waungwana!
Hebu wenye ujuzi watupie maujanja hapa,ipi ni namna bora ya kulana denda,nini hasa cha kuzingatia wakati wa kudendeka ili kupata matokeo mazuri zaidi...je ni ulimi,au lips...vp zifanyweje?
Tujuzeni wenye uzoefu,mambo mengine,tunafanya tu,ila hatuna ujuzi.
Karibuni.
 
Mi denda langu ni extreme, ninaanzia kidevuni hadi puani, na nikiingiza ulimi kinywani nausokomeza hadi ufike kwenye koromeo ndio naona rahaaaaaaaaaa
 
ingawa hii tovuti ni universal ila kuna mambo mengine ni restricted kwa under 18 yrs.
 
Denda ndio nn? Je ndenda inaliwa?
Kam inaliwa si utafune kwa meno tu.
 
Mmmh... Haya maswali mengine majibu yake yanahitaji vitendo zaidi ili muulizaji aweze kuelewa..!! Lol
 
Hahahaaaa..... Kweli kubuta..!
Kisukuma kinajitosheleza maneno yote.
Vimiminika unakujwa = (Kung`wa)
vitu kama uji = (Kubhuta)
Vitu kam pipi = (kubipa)
Vitu kama titi = (Kongh`a)

Sasa mtu anasema uji unaliwa hapa ananichanganya.
 
Mi denda langu ni extreme, ninaanzia kidevuni hadi puani, na nikiingiza ulimi kinywani nausokomeza hadi ufike kwenye koromeo ndio naona rahaaaaaaaaaa
hilo liulimi lako na nyok au la biaadamu??????????
 
Sikumbuki kama kuna demu nimemgegeda bila kulamba denda.
Kabhopilipiliiii aaaahhhh!
kanakolea kushingoo!!
Mhhh!!
 
prerequisite
1. love her
2. desire her
3. wash your mouth thoroughly
4. hold her head
5. look her in her eyes
6. dont talk

Kissing
1. touch her lips with yours
2. lick her upper lip, then lower
3. eat them all while studying the response
4. slowly search for her toungue
5. lick the tip and lower lip
6. follow with her response (ie allowing yourself to be kissed as well)
7. waweza hamisha mkono mmoja kwenda kwenye booty au kiuno na mkono mwingine ukibaki kwenye shingo.
8. kiss some other parts of her body as well.
 
ahahahahhhahahhahahhahahhaha mimi penda wewe!
 
mwalimu naulia swal!
nikifata hizi nondo haitakuwa hivi enh!


NAULIZA TU!SAMAHANI LAKINI!
 
mwalimu naulia swal!
nikifata hizi nondo haitakuwa hivi enh!


NAULIZA TU!SAMAHANI LAKINI!

hahahah, si umeona huyo bidada kakunja uso; mkaka hakutumia mouth wash halafu anaonekana ni mvutaji wa sigara plus mnywaji wa Safari beer; so you can imagine mix ya sigareti na beer!
 

nimekuelewaaaaa kinoma sana inaonekana we mtaalamu wa hayo mambo huhuhuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…