Kwa mujibu wa Katiba hii ya Nchi ambayo wana Ccm wote pamoja na wanaoisoma namba hivi sasa Waliiridhia sioni ni kwa namna gani kijikundi kidogo ndani au nje ya Chama kinaweza kuwa na Ubavu wa kumtingisha Mwenyekiti ambaye pia ndiye Mkuu wa Nchi π³π³ππ π€·πΎββοΈ !
Ngoja Tusubiri tuone hii movie π₯ !
Soon na wao wataanza kuimba wimbo mmoja -:
Katiba mpya bora ni muhimu πΆπ΅πΆπ΅π ππ€£ !