Je, kuna tofauti yoyote kati ya taarifa aliyotoa Lissu na aliyotoa Prof. Kabudi kuhusu kukamatwa kwa ndege nchini Canada?

Natamani kila moja amsikilize kwa umakini mkubwa anayoongea Mh. Tundu Antiphas Lissu halafu ajiulize, je nia ya Mtanzania yeyote yule kutaka kumdhuru ilitokana na nini?

Lissu ni Mzalendo zaidi ya walio kalia Kiti (Mamlaka) ,ni mkweli na amehoji Maswali ya Msingi sana amabyo kama Nchi tungekuwa na aina hii ya Watu hakika Taifa linge songa mbele sana.Tulijitia Aibu na Laana kwa kumshambulia huyu kiumbe kama Taifa tumempoteza Mtu makini sana.

Mungu ambariki sana Mh Lissu..
 
Flashback: August, 2017

Hapo juu Mh. Tundu Antiphas Lissu, aliyekuwa Mbunge wa kuchaguliwa na mwakilishi wa wananchi wa Singida akitoa taarifa ya kukamatwa kwa ndege yetu nchini Canada.

Fast-forward: November, 2019

Hapo juu Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa kuteuliwa wa Mambo ya nje akitoa taarifa ya kukamatwa kwa ndege yetu tena nchini Canada.

Takafuri...

Mh. Tundu Antiphas Lissu baada ya kutoa taarifa hii muhimu kwa wananchi wa Tanzania alituhumiwa kutumiwa na mabeberu na kuitwa msaliti.

Prof. Palamagamba Kabudi baada ya kutoa taarifa kama hiyo hiyo aliyoitoa Mh. Tundu Antiphas Lissu amepongezwa na kusifiwa kwa uzalendo.

Ndugu zangu Watanzania, je kuna lolote tunajifunza hapa? Naomba maoni yenu yasiyo na jazba wala kebehi. Tanzania ni yetu sote na sidhani kama yuko Mtanzania asiyelitakia mema taifa letu.

Naona hapo Kuna walio PANIC
 
Mkuu hata mtamba hujua kumekucha ila mwenye mamlaka ya kutangaza ni jogoo.....!!

Huo msemo ni sahihi lakini ktk hili haukai ukaenea ,Mh Lissu ametoa Maoni yake kama Raia mlipa Kodi na mwenye Haki ya kutoa yalio Moyoni ilimuradi asivunje Sheria.

Hebu tuambie alivunja Sheria ipi mpaka iwe kama ilivyo mtokea !?.Mtu anatugutusha Raia kuwa Kodi zetu zinafujwa hovyo hovyo kwa maamuzi yasio zingatia Sheria bado mnamuona hakuwa na mamlaka ya kusema !!!?
 
Beberu ni jina sio neno. Kumbuka hilo. Kila jina lina maana yake.

Sasa wewe hujuwi kazi ya beberu?
Foxy ni jina lako sexy au cunning lakini pia ni muonekano wa mbweha fox. Acha kukariri, je shule mlikwenda kufanya nini.... neno ni jinsi unavyolitumia
 
Niliuliza swali humu kama kupona kwa Lissu ni mpango wa Mungu au la. Kama ni mpango wa Mungu kwa nini watu wanamchukia. Je kumchukia sio kumkashifu Mungu aliyemponya? Kwangu mimi ni mapenzi ya Mungu nayo yatimie!
Mungu alikuwa na sababu ya msingi kabisa kumfanya Lissu aishi...
 
Flashback: August, 2017

Hapo juu Mh. Tundu Antiphas Lissu, aliyekuwa Mbunge wa kuchaguliwa na mwakilishi wa wananchi wa Singida akitoa taarifa ya kukamatwa kwa ndege yetu nchini Canada.

Fast-forward: November, 2019

Hapo juu Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa kuteuliwa wa Mambo ya nje akitoa taarifa ya kukamatwa kwa ndege yetu tena nchini Canada.

Takafuri...

Mh. Tundu Antiphas Lissu baada ya kutoa taarifa hii muhimu kwa wananchi wa Tanzania alituhumiwa kutumiwa na mabeberu na kuitwa msaliti.

Prof. Palamagamba Kabudi baada ya kutoa taarifa kama hiyo hiyo aliyoitoa Mh. Tundu Antiphas Lissu amepongezwa na kusifiwa kwa uzalendo.

Ndugu zangu Watanzania, je kuna lolote tunajifunza hapa? Naomba maoni yenu yasiyo na jazba wala kebehi. Tanzania ni yetu sote na sidhani kama yuko Mtanzania asiyelitakia mema taifa letu.

Na Lissu baada ya kutoa taarifa hiyo iliamriwa auawe...Mungu akamwokoa na mauti, Sasa Jiwe anawaya waya tu
 
Niliuliza swali humu kama kupona kwa Lissu ni mpango wa Mungu au la. Kama ni mpango wa Mungu kwa nini watu wanamchukia. Je kumchukia sio kumkashifu Mungu aliyemponya? Kwangu mimi ni mapenzi ya Mungu nayo yatimie!

Ni Ujinga tu wa baadhi ya Raia kutokuona Mapungufu ya Watawala wao kwa Sababu ya kuzidisha Mahaba/Njaa kwao.Wanashindwa kutofautisha Maslahi ya Nchi na Mapenzi binafsi ya Vyama na Mtu.
 
Na bado subiri wachina waanze kudai madeni yao, tutauza ikulu iwe ya Chamwino au Magogoni.
Akitembezewa dau nzuri ya magogoni itauzwa hakuna wa kupinga.
Wachina fasta wanaipiga chini wanaporomosha maflat kabla ajaingia mwingine.
Tubaki na ya chamwino
 
Flashback: August, 2017

Hapo juu Mh. Tundu Antiphas Lissu, aliyekuwa Mbunge wa kuchaguliwa na mwakilishi wa wananchi wa Singida akitoa taarifa ya kukamatwa kwa ndege yetu nchini Canada.

Fast-forward: November, 2019

Hapo juu Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa kuteuliwa wa Mambo ya nje akitoa taarifa ya kukamatwa kwa ndege yetu tena nchini Canada.

Takafuri...

Mh. Tundu Antiphas Lissu baada ya kutoa taarifa hii muhimu kwa wananchi wa Tanzania alituhumiwa kutumiwa na mabeberu na kuitwa msaliti.

Prof. Palamagamba Kabudi baada ya kutoa taarifa kama hiyo hiyo aliyoitoa Mh. Tundu Antiphas Lissu amepongezwa na kusifiwa kwa uzalendo.

Ndugu zangu Watanzania, je kuna lolote tunajifunza hapa? Naomba maoni yenu yasiyo na jazba wala kebehi. Tanzania ni yetu sote na sidhani kama yuko Mtanzania asiyelitakia mema taifa letu.

Hebu tufananishe na hili,
Dr Slaa akigombea urais kupitia Chadema alisema tutaoa elimu bila ada (bure) CCM na wakorofi wakambeza wakisema haitawezekana.
Dr Magufuli akigombea urais akipitia CCM alisema tutatoa elimu bila ada (bure) akashangiliwa na kusifiwa na CCM na wakorofi walewale waliombezz Dr Slaa. Tatizo letu hatupendi ukweli tumekaa kimipashomipasho ndiyo sababu hatuendelei tupotupo tu na she he wetu mkuu akikagua miradi ya serikali Dodoma! Huku haohao wakorofi wakimwambia mchungaji Msigwa aache siasa aende kanisa ni na wakorofi haohao wakimkumbatia askofu mama Lwakatare akiendesha kanisa na ubunge wa kuteuliwa!
 
Flashback: August, 2017

Hapo juu Mh. Tundu Antiphas Lissu, aliyekuwa Mbunge wa kuchaguliwa na mwakilishi wa wananchi wa Singida akitoa taarifa ya kukamatwa kwa ndege yetu nchini Canada.

Fast-forward: November, 2019

Hapo juu Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa kuteuliwa wa Mambo ya nje akitoa taarifa ya kukamatwa kwa ndege yetu tena nchini Canada.

Takafuri...

Mh. Tundu Antiphas Lissu baada ya kutoa taarifa hii muhimu kwa wananchi wa Tanzania alituhumiwa kutumiwa na mabeberu na kuitwa msaliti.

Prof. Palamagamba Kabudi baada ya kutoa taarifa kama hiyo hiyo aliyoitoa Mh. Tundu Antiphas Lissu amepongezwa na kusifiwa kwa uzalendo.

Ndugu zangu Watanzania, je kuna lolote tunajifunza hapa? Naomba maoni yenu yasiyo na jazba wala kebehi. Tanzania ni yetu sote na sidhani kama yuko Mtanzania asiyelitakia mema taifa letu.

Aaaah,tunaacha kuwapa uongozi watu kama lisu watuongoze,tunabaki kulalamika saiv.
Kila mtu apambane na hali yake tu sasa hakuna namna.
 
Flashback: August, 2017

Hapo juu Mh. Tundu Antiphas Lissu, aliyekuwa Mbunge wa kuchaguliwa na mwakilishi wa wananchi wa Singida akitoa taarifa ya kukamatwa kwa ndege yetu nchini Canada.

Fast-forward: November, 2019

Hapo juu Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa kuteuliwa wa Mambo ya nje akitoa taarifa ya kukamatwa kwa ndege yetu tena nchini Canada.

Takafuri...

Mh. Tundu Antiphas Lissu baada ya kutoa taarifa hii muhimu kwa wananchi wa Tanzania alituhumiwa kutumiwa na mabeberu na kuitwa msaliti.

Prof. Palamagamba Kabudi baada ya kutoa taarifa kama hiyo hiyo aliyoitoa Mh. Tundu Antiphas Lissu amepongezwa na kusifiwa kwa uzalendo.

Ndugu zangu Watanzania, je kuna lolote tunajifunza hapa? Naomba maoni yenu yasiyo na jazba wala kebehi. Tanzania ni yetu sote na sidhani kama yuko Mtanzania asiyelitakia mema taifa letu.

Comment za Kabudi ni very shallow. No Kama layman kabisa anamalizia kutoa sifa tu. Hatuna mtu hapo.
 
Niliuliza swali humu kama kupona kwa Lissu ni mpango wa Mungu au la. Kama ni mpango wa Mungu kwa nini watu wanamchukia. Je kumchukia sio kumkashifu Mungu aliyemponya? Kwangu mimi ni mapenzi ya Mungu nayo yatimie!
Siku hizi wanamungu wao na manabii na mitume wao 40 hivi ambao kila siku wako nao wakikagua miradi.
 
Back
Top Bottom