Je, kuna tofauti ya IQ za Watanzania kutokana na dini zao? Kuna dini wanapasi sana, wanafeli sana, huwa wanabaguliwa na kudhulumiwa?

Hayo mazao ndio walikuambiwa walime , je unajua kwamba walifika pwani kwanza wakapata resistance kwamba watu walikuwa washajitambua?

Je unajua walitumia njia ya elimu kushawishi watu wajiunge na dini kama sio mkristo hupati elimu!?..Kitu unaongea hakina maana IQ inapigwa kwa mtu hata kuingia darsan...Tabia kubwa ya IQ kubwa inabebwa na kipaji maalumu katika elimu tunaita Genius.

Sasa njoo kweny talent nchi hii kila kona wameshika dini gani?
 

kwa nini wanazima umeme?
 
Kwanza Paskali,unatakiwa kufaham,what kind of intellectual capability ambayo tunapaswa kuizungumzia hapa,kama kipimo Cha ufaulu ni kuangalia masomo haya ya primary,o level na advance basi tuanzie mwanzo wa hili saga from the root cause,I mean baada ya kuondoka mabwana zenu wakoloni hadi hivi Sasa,kwamba Hali ilikuaje,na HIV Sasa ipoe...
 
Ndizi na migomba inategemea hali ya hewa ya aina fulani. Hali ya hewa ya aina fulani ilivutia wazungu walipokuja huku kwa mara ya kwanza. Wazungu waliwavutia shule na culture yao, kwa wale wakazi wa hayo maeneo yenye hali ya hewa ya aina fulani.
 
Maharage Kande na soga yake Makamba jr ni watu wanastahili kuwa gerezani wakitumikia vifungo virefu au firing squad ingekuwa ishawakutanisha na Muumba wao.
 
Vipi kuhusu egypt,algeria,tunisia,comoro,moroco,qatar omar etc izo nchi ulizozitaja zinaasiliwa na rangi zao zamwili kama ilivyo nigeria,angola,congo,cammeroon nawengine wenye rangi kama yangozi yako
 
Kaka Mayalla
Kwangu mm IQ au kua na uwezo mkubwa vinatokana na mambo mbalimbali nitataja vichache.
1: vinasaba aka genetics hii kitu inaenda vizazi na vizazi kuna koo zinavipaji tangu enzi ukoo unaazinshwa it’s like Israelian u can’t win kwao kiakili.
2.Vyakula unaweza kua huna akili sn but vyakula unavyokula vikakuongezea uwezo wako pia wakufikiria
3.Mazingira nafikiri hii ndio changamoto kubwa kwa generation ya sasa technology imewateka mno badala ya kua wabunifu and kingine hatakujifunza hawataki kabisa.
4.Wivu wa maendeleo haupo unaishi huna mtu wakujifunza wake au anaekuhamasisha kwakua unataka kumpita yeye wengi role model zao ni wafanya ujinga zaidi.
 
Uongozi ndiyo majanga. Uongozi haufanyi juhudu zozote kuungasha watu bali unatumia huo mgawanyiko kujitetea pale wanapoona mambo yanakwenda vibaya. eg. Kiongozi akikosolewa kidogo, tena mambo ya ukweli, anakimbilia nyumba ya ibada kulialia au anatumia waumini wa dini yake kumtetea kwa anaonewa.
 
Bh
 
Pascal wewe ni talented kaka yangu unajua mpaka unakera hongera sana kaka!
 
Binafsi nimeshuhudia mtoto aliyeanza kwenda madrassa anapata shida primary Kwani anataka kuandika kulia kwenda kushoto kama kule madrassa
Hicho ni kipimo kikubwa kabisa Cha watu wenye akili za KRISTO, wagalatia wamekuwa brainwashed to the extent kuwa anadhani lugha ya kiarabu ni lugha ya kiislam,kumbe Arabic language ni amongst top five of best language duniani, besides hata wagalatia wenzako ambao ni waarabu injili Yao ya kiarabu imeandikwa hivyo hivyo kushoto kwenda kulia,Sasa tunashangaa ni kwamba hivi mmekosa akili kabisa au exposure??na ndiyo maana kutwa kujiita wasomi ndani ya nchi hii Cha maana mnachojua ni wizi na ufisadi tuh
 
Upon a time, Egyptology dominated the universe, Jesus came to replace it with Christology that reigns todate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…