Je, kuna taratibu zozote za kufuata ili kumuoa afisa wa Jeshi?

Hakuna kigezo.. kwa Raia kumuoa Afisa wa jeshi... ila kwa mwanajeshi mwenzake lzma awe amaemzidi huyo mwanamke wakati wa kufunga ndoa...
The rest ni story...
KWA KUONGEZEA...
ISHU NGUMU NI ONLY USALAMA WA TAIFA AMBAPO HAPO LAZIMA KUFANYIKE VTING YA NGUVU KUKUJUA KWA UNDANI NA WAKIJIRIDHISHA BASI UTAOA AU KUOLEWA NA AFISA USALAMA WA TAIFA..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha vetting ya nguv wala nn. Hua wanaenda kuuliziaulizia tu record za uhalifu zihusuzo mwanandoa. Watu kibao ndoa zinawasumbua wanalizwa kishamba sana hawa jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa na demu mmoja mjeshi ana nyota 2 aisee. Aliniambia wanaenda kambi gani sjui huko hawaruhusiwi kuongea na simu mpaka kwa kificho, ina maana mpaka anitafute yeye la sivyo mimi siruhusiwi kumpigia mpaka aanze yeye.

Mbaya zaidi huko kambini walipoenda wanakaa miezi kibao bila kurudi uraiani, nilimpenda sana nae akanipenda kiukweli ila nilishindwa nikamtaka aendelee tu na maisha yake mapenzi ya hivyo siyawezi kwa kweli.

Nikaachana nae sikumtafuta tena wala yee hajanitafuta mpaka leo. Inahitaji moyo kidogo kuwa na mwanamke mjeshi au polisi aisee.

Ni hatari sana.
 
Nilikuwa na demu mmoja mjeshi ana nyota 2 aisee. Aliniambia wanaenda kambi gani sjui huko hawaruhusiwi kuongea mpaka kwa kificho, ina maana mpaka anitafute mimi la sivyo mimi siruhusiwi kumpigia mpaka aanze yeye.

Mbaya zaidi huko kambini walipoenda wanakaa miezi kibao bila kurudi uraiani, nilimpenda sana nae akanipenda kiukweli ila nilishindwa nikamtakia aendelee tu na maisha yake mapenzi ya hivyo siyawezi kwa kweli.

Nikaachana nae sikumtafuta tena wala yee hajanitafuta. Inahitaji moyo kidogo kuwa na mwanamke mjeshi au polisi aisee.

Ni hatari sana.
Pole Sana, ungeshea na maafande wa kiume aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimtokea mdada mmoja wa kijeda akaelewa sound yangu ila alisema ananikubali kwa sharti moja. Nikauliza hilo sharti hafla alinikamata mapumb...u na kuyabinya aiseee nilipiga kelele hatariii. Aliyaachia akasema simfai nilikula kona kijasho kikinivuja.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Hakuna kigezo.. kwa Raia kumuoa Afisa wa jeshi... ila kwa mwanajeshi mwenzake lzma awe amaemzidi huyo mwanamke wakati wa kufunga ndoa...
The rest ni story...
KWA KUONGEZEA...
ISHU NGUMU NI ONLY USALAMA WA TAIFA AMBAPO HAPO LAZIMA KUFANYIKE VTING YA NGUVU KUKUJUA KWA UNDANI NA WAKIJIRIDHISHA BASI UTAOA AU KUOLEWA NA AFISA USALAMA WA TAIFA..

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeee!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimtokea mdada mmoja wa kijeda akaelewa sound yangu ila alisema ananikubali kwa sharti moja. Nikauliza hilo sharti hafla alinikamata mapumb...u na kuyabinya aiseee nilipiga kelele hatariii. Aliyaachia akasema simfai nilikula kona kijasho kikinivuja.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Ahahaaaaa sasa alikua anakupima nn
 
Nilikuwa na demu mmoja mjeshi ana nyota 2 aisee. Aliniambia wanaenda kambi gani sjui huko hawaruhusiwi kuongea na simu mpaka kwa kificho, ina maana mpaka anitafute yeye la sivyo mimi siruhusiwi kumpigia mpaka aanze yeye.

Mbaya zaidi huko kambini walipoenda wanakaa miezi kibao bila kurudi uraiani, nilimpenda sana nae akanipenda kiukweli ila nilishindwa nikamtaka aendelee tu na maisha yake mapenzi ya hivyo siyawezi kwa kweli.

Nikaachana nae sikumtafuta tena wala yee hajanitafuta mpaka leo. Inahitaji moyo kidogo kuwa na mwanamke mjeshi au polisi aisee.

Ni hatari sana.
Hakukupa mashart sijui uwe na degree au la!,, maana wanasema et uwe na degree ndio unaweza kuoa hao maafisa wa kijeshi, ni kweli? au porojo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom