JourneyMan
Member
- Apr 1, 2020
- 52
- 76
Power consumption ya hio freezer ni Watts ngapi ?Wataalamu/wazoefu naomba kujua hii kitu inawezekana? Au kuna njia nyingne ya kuendesha freezer nje ya umeme?
Kuna sehemu nataka niweka banda la chuma yale ya kuhamishika kwa biashara, nahitaji kuweka freezer ya 280 ltr, umeme kuufikisha ni kipengele...
Je naweza funga Solar power? Ipi/aina gani, naipata wapi?
Kama haiwezekani Bila kupepesa Lugha nisanue tuu, nisije nikayakanyaga, maana kama hili haiwezekani, hio biashara kwa kiasi kikubwa imekwama.
Ipo, inaitwa betriiHivi wanasayansi wameshindwa kuja na technolojia ya kuhifadhi/tunza umeme?
Hilo jibu ni uhakika broIpo, inaitwa betrii
Kujaribu kuhifadhi umeme ni sawa na kujaribu kuhifadhi upepo halafu ukifungua utoke tena kama upepo, inawezekana?Hivi wanasayansi wameshindwa kuja na technolojia ya kuhifadhi/tunza umeme?
Sorry Boss sikujibu sababu nilikua sijalinunua,Power consumption ya hio freezer ni Watts ngapi ?
Unachekesha ujueWataalamu/wazoefu naomba kujua hii kitu inawezekana? Au kuna njia nyingne ya kuendesha freezer nje ya umeme?
Kuna sehemu nataka niweka banda la chuma yale ya kuhamishika kwa biashara, nahitaji kuweka fridge(SIO FREEZER) ya 340 ltr, umeme kuufikisha ni kipengele...
Je naweza funga Solar power? Ipi/aina gani, naipata wapi?
Kama haiwezekani Bila kupepesa Lugha nisanue tuu, nisije nikayakanyaga, maana kama hili haiwezekani, hio biashara kwa kiasi kikubwa imekwama.
Specifications
Power Input: 240W
Rated Current: 1.4A
Voltage: 220-240V
Daily Power Consumption: 1.5kwh
Watu wa minara ya mawasiliano wanaelewa zaidi hii, huwa wanatumia power bank kukabiliana dharura ya kukatika kwa umemeHivi wanasayansi wameshindwa kuja na technolojia ya kuhifadhi/tunza umeme?
Siyo friji tu, zipo mpaka zinazoweza kutumika kwa welding. Ni hela yako tu. Kama upo Arusha, awatafute kampuni ya GADGETRONIX, au unaweza nikakutumia namba zao. Wanaweza kukufuata hata mikoani, ila hela yako isiwe ya "mawazo".Wataalamu/wazoefu naomba kujua hii kitu inawezekana? Au kuna njia nyingne ya kuendesha freezer nje ya umeme?
Kuna sehemu nataka niweka banda la chuma yale ya kuhamishika kwa biashara, nahitaji kuweka fridge(SIO FREEZER) ya 340 ltr, umeme kuufikisha ni kipengele...
Je naweza funga Solar power? Ipi/aina gani, naipata wapi?
Kama haiwezekani Bila kupepesa Lugha nisanue tuu, nisije nikayakanyaga, maana kama hili haiwezekani, hio biashara kwa kiasi kikubwa imekwama.
Specifications
Power Input: 240W
Rated Current: 1.4A
Voltage: 220-240V
Daily Power Consumption: 1.5kwh
Habari mkuu!Wataalamu/wazoefu naomba kujua hii kitu inawezekana? Au kuna njia nyingne ya kuendesha freezer nje ya umeme?