Je kuna madhara yoyote yatokanayo na kunyonyana mate(denda)

bern chuwa

Member
Jun 30, 2016
6
0
Habarini wanajukwaa,
Naomba kuuliza kama kuna madhara yoyote ya kunyonyana mate (denda) kama zipo ni zipii?

Nawasilisha.
 
Some infections especially those caused by bacteria may be transmitted from one person to another, kwa hiyo elewa hivyo, japo siku hizi bila kumla denda mrembo hajapagawa, hakikisha angalau mnakuwa na vinywa safi kwa kupiga mswaki na dawa nzuri ili kupunguza uwezekano wa kuambukizana oral related infections!!
 
hapo fangas na ukurutu wa mdomo.kuwa makin na aina ya mwanamke.utaoza mdomo
 
Ukimwi,hepatiti 8,fungus,ebola,kipindupindu,kuhara na kuharisha,maumivu ya tumbo,kuoza bandama etc
 
Kunyonyana inaweza ikawa ni chazo cha kuambukizana magonjwa ya mbali mbali kama fungus,wataalam wanasema hepatisis ,pia ukimwi .. Vinginevyo mswano tuuu nyonya mpak ukate ulimi
 
Wewe Mkuu Unamangamanga Nini?? Kula Mate tu Kwa Patna Wako Kiroho Safi Hakuna tatizo lolote Kiafya! Au Mkuu Unamaanisha Kutwambia Kuwa Demu Wako Hapigi Mswaki??
 
Hakuna ki2 kinachonitia kiwewe+mzuka wa kugegedana kama denda aaaaaha!!! ashiiiiiii.......!!!!! mmmmmmhhhh....!!!! Acha kabisa
 
Back
Top Bottom