wanajf naomba mnijuze kama kuna kazi zozote zinazotangazwa kwa form 6 leaver?kwani natafuta mtaji ili japo nipate pesa kwaajili ya kujiajiri.NAOMBA KUWASILISHA.