Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,120
Mie naona kama washiriki na watunzi wa lugha walikuwa hawajiamini..!!!!Hakuna kasoro na hali ya maneno hayo kujirudia ilitokea pale ambapo lugha ilipohitaji maneno mengi zaidi .Mf. wa maneno mengine ni kama :
sawasawa.
hiyo inaitwa URUDUFISHAJI?titi..
zizi..
pupu..
gogo..
pipi..
Ahsante sana...hiyo inaitwa URUDUFISHAJI?
ndio hizo nyenzake na "barabara" "katakata" ni katika kutengeneza misamiati ili lugha iwe inajitosheleza.Ahsante sana...
jee, hii:- Tete, mimi,nyonyo,pupu,sungusungu,zeruzeru,hoho,washawasha,topetope, nk nk ?
Shukrani "kemkem" tuta endeleza endeleza mlolongo wa kuukuza kupitia matawi na mifereji yote nahau yenye ufasaha.....ndio hizo nyenzake na "barabara" "katakata" ni katika kutengeneza misamiati ili lugha iwe inajitosheleza.
BabaLugha hii mara nyingi hutamka neno mara mbilimbili KM:-
Pilipili
pikipiki
Tikitiki
tete
lialia
chuchu
kuku
koko
............. endeleza tuona wapi..!!!!
Hapana sidhani kama ni kutokujiamini.Kama ilivyo unominishaji hata urudufishaji pia una dhima(kazi/umuhimu) zake kwa mfano neno vunja linapokuwa vunjavunja inaweza kuwa na maana zaidi (kuvunja bila mpangilio(hovyo) hivyo hivyo hata katika maneno pigapiga,chezacheza n.kMie naona kama washiriki na watunzi wa lugha walikuwa hawajiamini..!!!!
SisiMbende mbende
Minya minya
Tinga tinga
Lege lege
Maji maji
.........