Je, kuna dawa yoyote ya kuondoa ndevu permanently?

Je, kuna dawa yoyote ya kuondoa ndevu permanently?

Hondelo

Senior Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
155
Reaction score
245
Kama kuna yeyote anajua vile unaweza kupoteza ndevu permanently anijuze, kwa faida ya wengine pia.
 
Nini kinakusukuma kutaka kuziondoa hizo ndevu?
 
Mi nina mpango wa kuagiza china sipendi ndevu za chini kabisa, nataka nibaki na mustache tu. Zipo china
 
Ndevu ni ishara bado upo kwenye mabadiliko ya kua binadamu kamili.....
 
Back
Top Bottom