Je! Kuna chama cha Ma-IT Tanzania?

Je! Kuna chama cha Ma-IT Tanzania?

255mkombozi

Senior Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
106
Reaction score
13
Hivi kunachama cha ma-IT Tanzania ambacho kimesajiliwa na serikal? Kama kipo kinaitwaje? Kujisajili inakuaje?
 
Hii nchi inatia Hasira, yaani sekta nzima ya makompyuta inaonekana kama ukatuni katuni fulani usio kuwa na umuhimu wowote.

Yaani serikali inajitoa ufahamu kuwa ICT ndio key ya karne ya sayansi na teknolojia, Hapa kwentu Muziki unathaminiwa zaidi kuliko Sayansi ya kompyuta inasikitisha sana.

Unaweza kusema tusilalamike tuamue kufanya organisation zetu wenyewe, lakini kama hawapo tayari kukusapoti na kukutambua bado kila kitu kitaonekana kigumu tu. Dah!
 
Daaa hadi inakatisha watu tamaa..
Lakini ndio tujikaze yuendelee hivyohivyo mpaka tuta toka
 
Mkuu ni sawa ukutane na mwanasiasi umuulize hivi ni maeneo gani tuwekeze ili nchi ipate maendeleo ya haraka kati ya siasa na sayansi atakwambia siasa.

Nchi haiwajari wasomi wake wa IT ingia leo hii kwenye website ya wizara unakuta habari ya miaka 3 iliyopita ina inaonekana ni mpya hawataki kuachia madaraka nenda kwenye Bank TRA kufuata huduma wanakwambia kuna tatizo la kimtandao

Yaani ni hohehahe kwa kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom