Je, kuna athari yoyote mwanaume asiposhiriki ngono?

Tiger B

Senior Member
Dec 21, 2016
172
229
Wakuu habari,

Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 26 sasa. Sijashiriki ngono tangu nijitambue (nikue). Ninakumbuka mara ya mwisho kufanya hivyo nilikuwa na umri wa miaka 14.

Je, jambo hili linaweza kuathiri uwezo wangu wa kumridhisha mwenzangu hapo baadaye? Coz ninaamini katika kusubiri hadi ndoa.

Ahsanteni.
 
mkuu mbona ulichelewa sana kujitambua..
Yaani hadi miaka 14 ulikuwa bado tu hujajitambua!

Anyways.. Mi sidhani kama itakuletea madhara
Subiri ndoa..
 
Hujafanya tangu uzaliwe "lakini" ulifanya ukiwa na miaka 14!Madhara yake ni kupoteza "mwelekeo" wa unayoongea na kuandika ambapo hutokea mkanganyiko au mnyukano wa dondoo uzilengazo. Take it easy, boss! Jus' kidding!
 
Mkuu umetisha
Miaka 14 ulikuwa hujitambui??

Sema ndani ya hiyo miaka 12 kama hata umember wa CHAPUTA hauna basi lipo tatizo
 
Hujafanya tangu uzaliwe "lakini" ulifanya ukiwa na miaka 14!Madhara yake ni kupoteza "mwelekeo" wa unayoongea na kuandika ambapo hutokea mkanganyiko au mnyukano wa dondoo uzilengazo. Take it easy, boss! Jus' kidding!
Ya kutokufanya tangu nizaliwe wasema weye
 
Back
Top Bottom