Je kuna 3rd chance au zaidi ya hapo katika Mahusiano? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kuna 3rd chance au zaidi ya hapo katika Mahusiano?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Marahaba, Sep 10, 2012.

 1. Marahaba

  Marahaba Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mimi nilikuwa na rafiki yangu wa kike ,aliniacha kwa mara ya kwanza kwa madai kuwa nina tabia ya mfumo dume! hizi zilikuwa hazimridhishi katika mahusiano mpaka akafika hatua ya kumpata mshikaji mmoja, huyo naye hawakudumu wakakaa kama miezi 5 tu wakaachana ,baada ya hapo akampata mshikaji mwingine ,huyo naye akakaa naye kama miezi 7 tu wakaachana,baada ya haya yote akarudi kwangu kuwa nimsamehe kwa yote yaliyotokea na tukae kama mwanzo, mi nikamwambia tabia zangu hazijabadilika zilizokufanya uniache sasa utazivumilia?, akasema ataweza, kweli nikampokea kama 2nd chance , lakini cha ajabu tumekaa miezi 4 tu akasepa kwani sikubadili zile tabia, kwa maana nyingine nilikuwa nampima kama alichokisema ni cha kweli,Jamani wadau mtu kama huyu mnadhani anaweza kuwa na 3rd chance  tena katika mahusiano?
   
 2. b

  ba nso JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 640
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  kwa mazingira hayo usimpe 3rd chance, kwanza yeye ndo mwny matatizo why anaachika kila miezi 5. Hapo ni magonjwa tu. Piga chini
   
 3. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,637
  Likes Received: 2,065
  Trophy Points: 280
  kumwacha mtu huwa ni kazi hata wanaosema piga pichini ikifika imemtokea anajiuliza mara mbilimbili, lakini pamoja na ugumu wote inabidi ufanye maamuzi magumu kwani uendako hupafahamu lakini ipo siku ataibuka kipaji kimya na kuanzisha mahusiano mapya hivyo fanya maamuzi magumu ya kumpiga chini mdau Marahaba
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  The sign of maturity is not
  when we start speaking big things..
  But, actually it is,
  When U start understanding Small things...
   
 5. Marahaba

  Marahaba Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsantea sana wadau kwa hili, maana nitakufa kabla ya siku zangu ,yaani siku hiyo katimua akawa tayari ana mwingine mpya ,sasa nimeshindwa kweli kumuelewa kama walikuwa wote siku nyingi ama ndo anapunguza machungu huko,
   
 6. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Ujue for a relationship to work it takes 2 people!!!!! Sasa kama ulikua unajua mtu kitu hakipendi, then unakifanya ili uone atfanyaje????? Binafsi mtu akinitegea nikajua ni mtego nafanya vilevile anavonitegea. Mapenzi gani ya kupimana imani? Ingekuwa huyo dada umemtunza, umemcare, umempa vyote atakavyo kakutema ningemuona kimeo, ila since you didnt do your part huwezi kumblame!!! Mtu hata akiachika mara 10 si kigezo kuwa ana matatizo, huenda hana bahati!!!!
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Kawaida watu wakiwa pamoja kugombana hakukwepeki... Nini wamegombana? Attitude za hao wapenzi zipo vipi? Umri pia una matter... na circumstances zingine.

  Mie nimeshududia... Kuna couples hawaachanagi. Hii kapo ogopa sana u fall kwa mmoja wao, wewe unakuwa ni msindikizaji. Unakuta kapo toka walitongozana na kukutana toka siku ya kwanza wana miaka hata 5/7/8/9----> ila wamewahi achana hata mara kumi. Wanaachana saa ingine hata mda mrefu (hata mwezi to 3 months) wote wanakuwa na wapenzi then hao tena wanaanza kukutana kwa kuibia kwa kusaliti wale wapenzi wapya, wakivumbuliwa hata hawajali hao wana rudi pamoja. Hii process kwao ni ongoing pengine hata hadi wakioana...

  B2T

  Mie naamini katika makosa katika mapenzi... Makosa hufanya watu msomane na kujua mwenzio hapendi nini, mradi tu hayo makosa yasirudiwe. Ninavoweza ona ni kuwa huyo binti wampenda... Walau kwa mimi kutumia vigezo hivi...


  1. Remark yako ya kuwa na jamaa mwingine kwa miezi mi 5 tu! Mara tena mwingine miezi 7 tu! nikihesabu hapo ni mwaka. Na karudi kaoma msamaha na umempokea.
  2. Kitendo cha wewe kuuliza kama anaweza kuwa na chance ya 3 kuna kila dalili unafikiria kurudiana naye (tena nahisi kaja tena kukuomba msamaha).

  Sijajua una niya gani na wampenda to what extent exactly... Ingekuwa kuwa anafanya hivo then anatulia kidogo bila kua na mahusiano ingekuwa nafuu. Labda am old fashioned ila naona kama katoka kwenye mahusiano, kaingia mengine na mengine tena then kwako tena ni wazi kua ni binti ambae hajatulia. Naona hilo hata wewe umeliona na deep down ndio hilo ambalo lakusukuma na wala sio sababu zake za kukuacha kwa maelezo yake yasio kuwa na msingi.
   
 8. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 998
  Trophy Points: 280
  Msikilize AshaDii hapo..mi sijayasoma hayo maushauri yake ila lazima kutakuwa na pointi.
   
 9. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Shimo la panya halizibwi kwa mkate. Tafakari chukua hatua.
   
 10. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Maelezo yako yanaonyesha wazi kuwa huyo rafiki yako hana tabia nzuri hata kidogo na hata ukimpa 3rd, 4th, 5th chance na kuendelea mambo yatakuwa ni hayo hayo. Tafauta mwingine, atakumaliza kwa UKIMWI. Hivi mwanamke yupo huyo tu ktk dunia hii iliyojaa warembo?
   
Loading...