hiyo ni dalili ya ukosefu/upungufu wa madini chuma kwenye mwili wakeWasalamu,
Mtu anayependa kung'ata kucha na kuzila kuna madhara yeyote kwa huyo mtu. Na je kipi afanye ili aache hiyo tabia.
Ni tatizo la kisaikolojiaWasalamu,
Mtu anayependa kung'ata kucha na kuzila kuna madhara yeyote kwa huyo mtu. Na je kipi afanye ili aache hiyo tabia.
Tiba yake ni nini mkuuNi tatizo la kisaikolojia
Ni lazima kukaa na mwathirika na kuongea naye kwa kuna ili kung'amua asili ya tatizo na mudaTiba yake ni nini mkuu
😂 Kwani uongo..?
Mimi sijhiKwani uongo..?
Ukikutana na hao ndo ile inaitwa kimeumana..🤣Mimi sijhipengine kweli
DuhMwanangu P hivyo hivyo. Mpaka anazivamia za miguuni akihisi mikononi zimeisha