Chochote kizuri kwa ccm ni halali na kisichofurahia ccm ni jinai!.
Mambo ya haki, sheria na wajibu, ni hadithi za kale mjomba.
BTW, huna sababu ya kumtafuta LEMA kwa sheria. Naona unalazimisha eti "kaingilia mazungumzo ya nani sijui". Usihangaike kwa kuwa unachotaka kumpigilia nacho Lema kimeshadunda.
Una uwezo wa kwenda nyumbani kwake ukamkamata, ukampeleka kokote unakojua na ukipata ushauri wa namna ya kumfanya, unamfikisha polisi. Hapo utaandikishwa kama "kikosi kazi", cha namna yoyote, utamsingizia namna yoyote, na kwa msaada wa hao jamaa zenu, basi utakuwa umetimiza ndoto zako juu ya damu yake.
Sheria za nini tena? Hazina umuhimu!. Kikubwa ni utashi wako.
Kwa SIRIKALI ya sasa naona kama kama ni sawa tu kwa sababu hata Mwenye sirikali aliwahi kusema pale kwenye mkutano wa taarifa ya makinikia kuwa 'KUNA MTU WALIM HACK KWENYE MAWASILIANO YAKE NA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII'.
Kisheria hairuhusiwi ila kwa system iliyopo kwa sasa kum hack mtu cyo dhambi tena.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.